Huenda ndo Mapunda mwenyeweSisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
Hahaha kumbe ni mdadaSio "jamaa/lijamaa", ni mdada ameizing flan hivi😀😀😀😀
Mkuu huyu jamaa ananikera sana kuwatetea ccm.Kweli mkuu ila kuna mtu humu alikuwa anaomba atokomee , sasa sijui yeye angefaidikaje na kutokomea kwake.
AMERUDI MBIO MBIO ALIDHANI UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA UMEINGIA L47 ATAPOTEA SIO MUDA AKIGUNDUA ROLL CALL SIO SAA HIZIKumbe upo
anamaanisha mafisadi ya uv-ccm.Anatetea Matumbo ya Mafisadi? Acha utani wewe kwani Lizaboni ni Team Lowassa?
NDIO MAANA WALIKUWA WANATA DR MPANGO AJIUZULU KUONGEZA VAT KAMPUNI ZA SIMU JF MTABAKI KAMA VIDUME WATUPU POLENI NA KWENYE VING'AMUZI LOCAL CHANNELS WAMEKATA TUTAWAONA WANAPIGA CHABOSiku hizi Lumumba hawatoi zile buku saba yupo ila nadhani Mb za kuingia net mda mwingine anakosa
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
Hakuna kipindi ccm wanaogopa kufanya uchaguzi wa aina yoyote kama sasa maana wanajua watagaragazwa vibaya sanaLizaboni yupo kuna uzi Wa kazi Yake ndani ya chama kuchafua watu Leo kaja kumchafua mchimbi ila atakuwa ameumia sana jamaa Yake mapunda kuwa Na kashfa ya ufisadi naamini alimpigia kampeni huko songea kwao Lizaboni ushauri mpelekeni mahakamani au mfuteni uanachama uchaguzi urudiwe hamuwezi kuwakilishwa Na mbunge fisadi Wa Mali za chama