Nini kimempata LIZABONI?

Nini kimempata LIZABONI?

Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui
Huenda ndo Mapunda mwenyewe
 
Yawezekana naye ni miongoni mwa uvccm wanaotakiwa kutumbuliwa
 
AMERUDI MBIO MBIO ALIDHANI UHAKIKI WA WATUMISHI HEWA UMEINGIA L47 ATAPOTEA SIO MUDA AKIGUNDUA ROLL CALL SIO SAA HIZI
Inawezekana keshamaliza kutoa mahojiano pale takukuru
 
yupo anaendelea kuwaza jinsi ya kwenda Zanzibar kufukua kaburi la Azimio la Arusha lililozikwa na ccm kule. hajui kuwa kuna wakulu wanaokwenda kukesha kuomba dua kwenye hilo kaburi ili huyo marehemu Azimio aendelee kulala mahala pema kuzimu!,
 
Siku hizi Lumumba hawatoi zile buku saba yupo ila nadhani Mb za kuingia net mda mwingine anakosa
NDIO MAANA WALIKUWA WANATA DR MPANGO AJIUZULU KUONGEZA VAT KAMPUNI ZA SIMU JF MTABAKI KAMA VIDUME WATUPU POLENI NA KWENYE VING'AMUZI LOCAL CHANNELS WAMEKATA TUTAWAONA WANAPIGA CHABO
 
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake tufahamishane maana hakuna YANGA bila SIMBA na siasa siyo uadui

Yupo maternity leave
 
Lizaboni yupo kuna uzi Wa kazi Yake ndani ya chama kuchafua watu Leo kaja kumchafua mchimbi ila atakuwa ameumia sana jamaa Yake mapunda kuwa Na kashfa ya ufisadi naamini alimpigia kampeni huko songea kwao Lizaboni ushauri mpelekeni mahakamani au mfuteni uanachama uchaguzi urudiwe hamuwezi kuwakilishwa Na mbunge fisadi Wa Mali za chama
 
Hakuna kipindi ccm wanaogopa kufanya uchaguzi wa aina yoyote kama sasa maana wanajua watagaragazwa vibaya sana
 
Back
Top Bottom