Nini kimempata LIZABONI?

Nini kimempata LIZABONI?

Wewe ngoja utacheka hii mahakama ya mafisadi ndio itawamaliza kila kesi itakuwa Na mwanachama Wao maana ufisadi wote wanahusika kwa hiyo ata wakubwa wakikosa kutakuwa Na wadogo
Ccm ni chaka la waharifu
 
L

Kwanini udhanie hivyo? Kuwa na hoja kuntu humu siyo lazima maisha yako yawe juu. Ni wewe tu kujiongeza kichwani.
Uvccm kwa kutaka maisha ya juu sasa mmeamua kuuza kila kitu hapo lumumba
 
Ccm hawajiamini kabisa ndio maana unaona haya yanayo tokea ya kuzuia viongozi wa UKAWA kukutana na watanzania

Umekusudia wanawazuiya UKAWA kushika UKUTA.
Karibuni Dodoma
 
Back
Top Bottom