Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Basi Mashushushu wameisha Nchi hii
Jamaa yupo fiti Sana. Mabosi wao walikuwa kina Thomas Nyimbo na Hassy Kitine.

Zama hizo dress Kodi Yao ilikuwa mashati ya vitenge. Makatibu tarafa na bwana huruma wote waliwekwa watu wa kitengo.

Enzi hizo kujiunga kitengo ni lazima upitie UVT uthibitishwe na kina Joseph Nyerere. Sishangai Sana mpaka Leo watu wa kitengo kudhani wanatakiwa wailinde CCM badala ya Tanzania.
 
kwa hizi reply zenu wadau nmecheka mpaka nimejistukia ikabidi nihamie kusoma uzi mwingine maana nacheka hapa afu npo kwenye kundi la watu. afu ukijumlisha nina njaa ndo tumbo linaniuma balaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kupatwa kwa LucaπŸ˜‚
 
Wanadai Lumumba hawampi hela siku hizi
 
Wakati wake umeisha amebaki yule mwingine yupo anajitoa kweny mfumo taratibu tusigundue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…