Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Basi Mashushushu wameisha Nchi hii
Jamaa yupo fiti Sana. Mabosi wao walikuwa kina Thomas Nyimbo na Hassy Kitine.

Zama hizo dress Kodi Yao ilikuwa mashati ya vitenge. Makatibu tarafa na bwana huruma wote waliwekwa watu wa kitengo.

Enzi hizo kujiunga kitengo ni lazima upitie UVT uthibitishwe na kina Joseph Nyerere. Sishangai Sana mpaka Leo watu wa kitengo kudhani wanatakiwa wailinde CCM badala ya Tanzania.
 
kwa hizi reply zenu wadau nmecheka mpaka nimejistukia ikabidi nihamie kusoma uzi mwingine maana nacheka hapa afu npo kwenye kundi la watu. afu ukijumlisha nina njaa ndo tumbo linaniuma balaa😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Kupatwa kwa Luca😂
1739438243927.jpg
 
Wakati wake umeisha amebaki yule mwingine yupo anajitoa kweny mfumo taratibu tusigundue.
 
Back
Top Bottom