Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #41
Anayemtapeli ni johnthebaptist 😄😃😀Labla sasa hv anatapeliwa posho zake za lumumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayemtapeli ni johnthebaptist 😄😃😀Labla sasa hv anatapeliwa posho zake za lumumba
Huyo muda wote amelewa maulanzi ya Mtuvila Na Kule Makanyagio nje ya geti la MUCE.Anayemtapeli ni johnthebaptist 😄😃😀
Usijeshangaa unamwambia nigga mwenye kenge le kwenye boxer na filimbi 1Nakupenda mrembo
Achana na huyo chawa mwoshambwa
Atakuwa na njaa
Njoo ule mali zangu mrembo😅
Huyo dingi johnthebaptist anaishi Masaki ila Iringa alisoma enzi mkwawa inaitwa Saint Andrew😀Huyo muda wote amelewa maulanzi ya Mtuvila Na Kule Makanyagio nje ya geti la MUCE.
Hawezi akaishi masaki huyo. Labda kule Mbagala alikoimbia Diamond.Huyo dingi johnthebaptist anaishi Masaki ila Iringa alisoma enzi mkwawa inaitwa Saint Andrew😀
Jamaa namjua. Yupo Masaki anakula mema ya nchi. Wao ni kundi la mashushushu na kina Augustine Mrema.Hawezi akaishi masaki huyo. Labda kule Mbagala alikoimbia Diamond.
Basi Mashushushu wameisha Nchi hiiJamaa namjua. Yupo Masalki anakula mema ya nchi. Wao ni kundi la mashushushu na kina Augustine Mrema.
Jamaa yupo fiti Sana. Mabosi wao walikuwa kina Thomas Nyimbo na Hassy Kitine.Basi Mashushushu wameisha Nchi hii
Ule mkia wake mbona hsujaupiga picha watu watakataa huyu si mwashambwa kwasababu wanajua mwashambwa ana mkia fulani mfupi kama wa kifaruHuyu ndo LukasiView attachment 3235161
Kupatwa kwa Luca😂Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?
Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.
Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.
Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?
Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Achutame...Kupatwa kwa Luca😂View attachment 3236057
Watu kama Hawa wakipewa U-DC huwa tafrani😀yupo dodoma anabubujikwa machozi
LabdaWakati wake umeisha amebaki yule mwingine yupo anajitoa kweny mfumo taratibu tusigundue.