Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Kukataa ushoga na kuweka sheria zinazoubana ushoga ni kitu kizuri. Lakini kumnyonga mtu eti kwa sababu ni shoga ni upumbavu na ujuha mtupu. Ushoga ni kosa au dhambi kama dhambi au makosa mengine, kwa nini hizo dhambi nyingine watu wasinyongwe. Hivi ni kipi kibaya zaidi watu wazima kujinyambua wenyewe kwa wenyewe au jitu zima ovyo kukaingilia katoto ka mwaka mmoja. Mimi nitakuwa wa kwanza kuunga mkono kunyongwa watu wazima wanaoviingilia vitoto vidogo. Mbona tunashupalia mashoga huku hatuusemi ukatili wanaofanyiwa watoto wadogo. Tena juzi nimesoma mahali mtu mmoja alifungwa miaka mitano kwa masterbate na kukamwagia katoto ka mwaka mmoja s........wa mapajani. But we are sympathetic to such people lakini watu wazima wanaokubali kuingiliwa kinyume tunataka kuwanyinga. Hivi na wale wanaowaingilia wanawake kinyume kwa nini nao tusiwapigie kelele. Kama kuna raha kumwingilia mwanamke kinyume, si raha ni hiyo hiyo kwa mwanaume. Kwa nini tukubali kimoja na kingine tukiona afadhali. Koote ni kufira na kufirwa.
 
Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha
Never outshine your Master, kuna kitu kinaitwa puppet leader do you know the meaning? If you know then fanya calculation kwa Museven, he is under control from outside hawezi kuamua amua mwenyewe Mambo km anaishi kwenye kisiwa, n there are some people's who're behind him some of them are Gay's
 
View attachment 2595606

Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.

Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi museveni amalizie kupitisha muswada huu uwe sheria, ilibaki tu saini ya Rais Museveni kufanya muswada huo uwe sheria, Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha, wala haogopagi chochote kusema hakuna watu wanaomkera kama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na anatamani wasiwepo kabisa kwa namna yoyote.

La haula!! Museveni kagoma kusaini muswada huo, kaomba upitiwe upya, Museveni tunaemjua huyu au !?

Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.

Hakika ni kitu cha kushangaza maana ikumbukwe Raisi huyu alikuwa ni kichwa cha treni kuwa mstari wa mbele kutamani kabisa kuutokomeza ushoga hata kwa mbinu za kimafia , nini kimetokea mpaka kawa hivi ??

Conclusion: Hivi vitu viwe kimya kimya tu kama hapa bongo unawekwa ndani miaka 30 kimya kimya, kwa sasa kupiga kelele kwa wanaotoa misaada ni kutafuta attention unnecessary, ni mwendo wa kimya kimya tu
Huu ni ushahidi kuwa marais wetu ni viranja tu wakawaida ambao wana marais wao huko majuu. Natamani waanze wao kufxxlwa lau waone adha tunayopingana nayo
 
Mkuu huyo jamaa ni wale washamba wanaokaaga nje miaka michache wakirudi kwao wanadai nchi inanuka, ila wazungu wanawanyoosha. Kwasababu huko aliko hathaminiwi hata aendeshe Ferrari hasira anazihamishia kwa waafrica na watanzania mtandaoni, anaona ndo wamesababisha aonekane mnyama huko aliko, ni tatizo la kisaikolojia huwakuta wengi. Nina kaka yangu yupo ulaya kaoa mzungu. Na kuzaa watoto wa kiume watatu wakubwa Sasa hivi. Upande wa mke wanambagua indirectly sababu ya rangi yake na mke na watoto pia, ana karibu miaka hamsini. Huwa akirudi TZ utamuonea huruma ni mtu ambaye ana mawazo sana. Mtu kama huyo akiwa jf anachangia lazima atukane waafrica kwa hasira utadhani mzungu🤣🤣
Kweli hii ni case ya kisaikolojia zaidi japo bado namuona chizi.
 
Waafrika wengi ni wajinga sana kama wanyama hususani wabongo. Wengi walimsifia Museveni bila kujua nini kilikua kinaendelea Uganda!

Muswada ule haukupelekwq Bungeni na serikali ya Museveni bali ni mbunge mmoja ndie alipeleka mapendekezo hayo kama ambavyo mbunge yeyote anaweza kufanya hapa Tanganyika, baada ya muswada kupita Bungeni ndipo Rais husaini uwe sheria.

Sasa kwakua Muswada ule haukutokea serikalini kinyume na mazwazwa wengi walivyoamini ndipo Museveni kaomba marekebisho kama ilivyotangazwa.

Kuna a very thin line katika uwezo wa kufikiri kati ya mwafrika na mnyama.
Nawewe ni mwafrica ndugu mwandishi?
 
Back
Top Bottom