Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Kukataa ushoga na kuweka sheria zinazoubana ushoga ni kitu kizuri. Lakini kumnyonga mtu eti kwa sababu ni shoga ni upumbavu na ujuha mtupu. Ushoga ni kosa au dhambi kama dhambi au makosa mengine, kwa nini hizo dhambi nyingine watu wasinyongwe. Hivi ni kipi kibaya zaidi watu wazima kujinyambua wenyewe kwa wenyewe au jitu zima ovyo kukaingilia katoto ka mwaka mmoja. Mimi nitakuwa wa kwanza kuunga mkono kunyongwa watu wazima wanaoviingilia vitoto vidogo. Mbona tunashupalia mashoga huku hatuusemi ukatili wanaofanyiwa watoto wadogo. Tena juzi nimesoma mahali mtu mmoja alifungwa miaka mitano kwa masterbate na kukamwagia katoto ka mwaka mmoja s........wa mapajani. But we are sympathetic to such people lakini watu wazima wanaokubali kuingiliwa kinyume tunataka kuwanyinga. Hivi na wale wanaowaingilia wanawake kinyume kwa nini nao tusiwapigie kelele. Kama kuna raha kumwingilia mwanamke kinyume, si raha ni hiyo hiyo kwa mwanaume. Kwa nini tukubali kimoja na kingine tukiona afadhali. Koote ni kufira na kufirwa.
 
Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha
Never outshine your Master, kuna kitu kinaitwa puppet leader do you know the meaning? If you know then fanya calculation kwa Museven, he is under control from outside hawezi kuamua amua mwenyewe Mambo km anaishi kwenye kisiwa, n there are some people's who're behind him some of them are Gay's
 
Huu ni ushahidi kuwa marais wetu ni viranja tu wakawaida ambao wana marais wao huko majuu. Natamani waanze wao kufxxlwa lau waone adha tunayopingana nayo
 
Kweli hii ni case ya kisaikolojia zaidi japo bado namuona chizi.
 
Nawewe ni mwafrica ndugu mwandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…