Nini kimemsibu "Dai"; Tufuatilie kwa makini.....


Haoni wenzie kina ruge yaliyowakuta haaa nadhani simba kawa kondoo hii inaitwa alalbadili bayana mungu anawaumbua na bado
 
Heri Hamorapa anatafuta kiki kwa kutia moyo waliopatwa na matatizo
 
Reactions: dtj
Zile mil 500 labda ameongezewa zingine
 
Siku hizi habari za celebrity zimejaa tele jukwaa la siasa. Ama kweli siasa za Tanzania zimeshuka hadhi
 
Ninachojua ni kua vijana wengi wa ccm hua hawana upeo mkubwa katika kuongelea maswala ya nchi kwakua akili zao hua wanakua wamekabidhi sehemu.
Kuna wenye phd wanafanya utumbo wa levo ya chekechea itakua yeye?

wakihamia tu chadema wanakuwa na upeo mkubwa kama sumaye na Lowassa
 
Kwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?
Wanataka ashabikie chama cha wauza ngada
 
Kuna tabia inajengeka kwa vijana wengi wa kitanzania hasa wa mitandaoni inabidi kuikemea. Wanaolilia uhuru wa mawazo wanataka tu ule uhuru wa kutukana na kudhalilisha wengine ndo maana yeyote aliye na mawazo tofauti na wao wanaishia kumtusi matusi ya nguoni mimi naiita ni tabia ya kukosa hekima na hili pepo la kujiona tu kwamba ukiwa upande wa upinzani wewe ndo upo sahihi na wewe ndo mzalendo naona kama ni ukengemfu. Upinzani kwani wao ndo malaika kwamba wanachowaza wao ndo kipo sahihi muda wote? . Wewe mbona unataka uhuru wa kumkosoa Magufuli ila wengine wakitaka uhuru wa kuwakosoa mnaowapenda mnaanza kuwatukana matusi yasiyo ya kistaarabu? Jamii forums sijui imekuwaje yaani ile intellectualism inapotea kumejaa watu ambao sio Great Thinker anymore sababu Great Thinker anayedai anaamini katika uhuru wa mawazo kwanini aanze kumtukana mtu yule ambaye ana ideology tofauti? Huwezi kumkosoa Diamond bila ya kumtukana? Hivi tangu lini kutukana kumekuwa ni kukosoa?
 
wakihamia tu chadema wanakuwa na upeo mkubwa kama sumaye na Lowassa
Si umeona sasa ulivyokosa upeo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema wengi siyo wote. nishakaa na wakereketwa wa ccm wanaongea hoja vizuri tu ndiyo maana sijasema wote.
 
Kama kakutuma Mwambie Tanzania ya sasa Ina washomile Wengi na wanajielewa. Kama amepoteza follower mmoja ni mimi. Pumbavu yule.
 
Kiufupi ni Bashite anamtumia Diamond kujisafisha but I think dogo kuna nazani atakua kwenye listi ya ngada sasa maybe Bashite kampa masharti amsafishe ili asimtaje ndomana Simba amejikuta kaingia cha kike
 
Kama kakutuma Mwambie Tanzania ya sasa Ina washomile Wengi na wanajielewa. Kama amepoteza follower mmoja ni mimi. Pumbavu yule.
We si umetoka kumwambia mwenyekiti wako amfute Nnape uanachama wewe?
Jambo lenyewe si hilihili?
we kweli hujielewi!
 
Kwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?

Ashabikie matahira wenzake
 
Dah yaan mi nasikitika sana jinsi watu hawathamini kabsa differentiation. Kwann mtu amby anamtazamo tofauti na wako usimuache alivyo na uamini unachokiamini wew. Why tunalazimishana kufuata mkumbo. Nachukia hii kitu lakini sina cha kubadlisha
 
We si umetoka kumwambia mwenyekiti wako amfute Nnape uanachama wewe?
Jambo lenyewe si hilihili?
we kweli hujielewi!
We unajielewa kweli? Huo usengerema wa mwenyekiti na nape nimeusema wapi?? Wewe watakuwa wanakufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…