Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wamekuwa mbogo na wameanza kumtemea cheche mwanamuziki nguli nchini....Simber!
Si kitu chepesi msanii kukubali kuweka rehani kazi yake, tena inayomlipa sana just kwa kutaka kuendekeza urafiki!
...Mimi akili yangu inakataa kuwa jamaa ameridhia kuinunua vita ya wenziwe, kuna jambo tu nyuma ya pazia....!
Inawezekana na yeye naye wame-"mroma", ingawa tunamuona uraiani lakini huwezi jua saa nyingine amepewa condition kumtumikia Bashite au kupotezwa kwenye ramani kama yule wa Yanga!
Hebu tumpe muda huyu simber labda naye siku moja atakuja kutuambia yake ya moyoni na tutamuhurumia!
Kweli JF nayo imepoteza mvuto
huyu dogo ni mjinga tu
Ninachojua ni kua vijana wengi wa ccm hua hawana upeo mkubwa katika kuongelea maswala ya nchi kwakua akili zao hua wanakua wamekabidhi sehemu.
Kuna wenye phd wanafanya utumbo wa levo ya chekechea itakua yeye?
Wanataka ashabikie chama cha wauza ngadaKwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?
Si umeona sasa ulivyokosa upeo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema wengi siyo wote. nishakaa na wakereketwa wa ccm wanaongea hoja vizuri tu ndiyo maana sijasema wote.wakihamia tu chadema wanakuwa na upeo mkubwa kama sumaye na Lowassa
Kama kakutuma Mwambie Tanzania ya sasa Ina washomile Wengi na wanajielewa. Kama amepoteza follower mmoja ni mimi. Pumbavu yule.Watanzania wamekuwa mbogo na wameanza kumtemea cheche mwanamuziki nguli nchini....Simber!
Si kitu chepesi msanii kukubali kuweka rehani kazi yake, tena inayomlipa sana just kwa kutaka kuendekeza urafiki!
...Mimi akili yangu inakataa kuwa jamaa ameridhia kuinunua vita ya wenziwe, kuna jambo tu nyuma ya pazia....!
Inawezekana na yeye naye wame-"mroma", ingawa tunamuona uraiani lakini huwezi jua saa nyingine amepewa condition kumtumikia Bashite au kupotezwa kwenye ramani kama yule wa Yanga!
Hebu tumpe muda huyu simber labda naye siku moja atakuja kutuambia yake ya moyoni na tutamuhurumia!
Amezama kwenye mtaro wa kinyesi akijaribu kumuokoa Bashite wakazama wote.kwani amefanyaje wakuu nisaidieni kunijuza nahisi itakua ishu ya insta na mimi huko sipitagi
We si umetoka kumwambia mwenyekiti wako amfute Nnape uanachama wewe?Kama kakutuma Mwambie Tanzania ya sasa Ina washomile Wengi na wanajielewa. Kama amepoteza follower mmoja ni mimi. Pumbavu yule.
Kwaiyo naseeb abdul atakiwi kuwa na mapenzi kwa kitu anachoamini? Na niulize mwisho mnataka naseeb abdul ashabikie chama gani?
Dah yaan mi nasikitika sana jinsi watu hawathamini kabsa differentiation. Kwann mtu amby anamtazamo tofauti na wako usimuache alivyo na uamini unachokiamini wew. Why tunalazimishana kufuata mkumbo. Nachukia hii kitu lakini sina cha kubadlishaKuna tabia inajengeka kwa vijana wengi wa kitanzania hasa wa mitandaoni inabidi kuikemea. Wanaolilia uhuru wa mawazo wanataka tu ule uhuru wa kutukana na kudhalilisha wengine ndo maana yeyote aliye na mawazo tofauti na wao wanaishia kumtusi matusi ya nguoni mimi naiita ni tabia ya kukosa hekima na hili pepo la kujiona tu kwamba ukiwa upande wa upinzani wewe ndo upo sahihi na wewe ndo mzalendo naona kama ni ukengemfu. Upinzani kwani wao ndo malaika kwamba wanachowaza wao ndo kipo sahihi muda wote? . Wewe mbona unataka uhuru wa kumkosoa Magufuli ila wengine wakitaka uhuru wa kuwakosoa mnaowapenda mnaanza kuwatukana matusi yasiyo ya kistaarabu? Jamii forums sijui imekuwaje yaani ile intellectualism inapotea kumejaa watu ambao sio Great Thinker anymore sababu Great Thinker anayedai anaamini katika uhuru wa mawazo kwanini aanze kumtukana mtu yule ambaye ana ideology tofauti? Huwezi kumkosoa Diamond bila ya kumtukana? Hivi tangu lini kutukana kumekuwa ni kukosoa?
We unajielewa kweli? Huo usengerema wa mwenyekiti na nape nimeusema wapi?? Wewe watakuwa wanakufaidi.We si umetoka kumwambia mwenyekiti wako amfute Nnape uanachama wewe?
Jambo lenyewe si hilihili?
we kweli hujielewi!
wajina nakuona. Sema mpk wewe humtambui wajina wetu wa kolomije?Amezama kwenye mtaro wa kinyesi akijaribu kumuokoa Bashite wakazama wote.