Nini kimemsibu Joseverest?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka Wanajamvi?

Kulikoni jamiiforums person of the year 2017 dogo Joseverest haonekani jamvin siku hizi. Josee kila thread ulimkuta Tena wa kwanza kukomenti Na hapiti wa tano. Hata Uganda forum alikuwepo.

Wadau wanadai labda dada yake kachoka kumkingia kifua kwasababu za bandle za bure Na kujikunja mguu kwenye sofa Hadi Shemeji yake kamind nakumtimua Sasa Yuko uswaz ghetto la msela anavizia WiFi za bure.

Wanoko wengine wanadai josee Yuko kwenye ndoa halafu Shemeji Yetu ana wivu kichizi kamzuia kuingia kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja Na JF akidhani anatega milupo. Zote hizi Ni tetes kutoka kwa wadau.

Tumekumiss Josee JF person of the year 2017 Rudi kundini.

[HASHTAG]#bringbackourjoseverest[/HASHTAG]

Joseverest
 
Ninachompendea jose nyuzi kama hizi za kumuulizia humuoni kabisa anapita kimya kimya mkuu mbona jose yupo humu labda mnapishana
 
Ninachompendea jose nyuzi kama hizi za kumuulizia humuoni kabisa anapita kimya kimya mkuu mbona jose yupo humu labda mnapishana
Kanipa like muda si mrefu kwenye huu uzi, japo kanipokonya hiyo like sijui kwa bahati mbaya. Ila yeye hajatia neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…