Nini kimemsibu Joseverest?

Nini kimemsibu Joseverest?

Hebu muacheni bebi wangu jamani Khaa akikoment wa kwanza mnamchamba akisema apumzike humuishi kumuukizia...yani tusiende kula bata siku mbili tayari mmeanzisha nyuzi mnataka nini lakini? Mtuwache tupo tunatafuta mtoto
 
Jose kuna majukùmu ya taifa hili anayafanya ambayo aliyaanza mwaka jana miezi ya mwishoni
 
Ni form four huyo.. matokeo hayamemchanganya [emoji23][emoji23]
 
View attachment 693914 Mzuka Wanajamvi?

Kulikoni jamiiforums person of the year 2017 dogo Joseverest haonekani jamvin siku hizi. Josee kila thread ulimkuta Tena wa kwanza kukomenti Na hapiti wa tano. Hata Uganda forum alikuwepo.

Wadau wanadai labda dada yake kachoka kumkingia kifua kwasababu za bandle za bure Na kujikunja mguu kwenye sofa Hadi Shemeji yake kamind nakumtimua Sasa Yuko uswaz ghetto la msela anavizia WiFi za bure.

Wanoko wengine wanadai josee Yuko kwenye ndoa halafu Shemeji Yetu ana wivu kichizi kamzuia kuingia kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja Na JF akidhani anatega milupo. Zote hizi Ni tetes kutoka kwa wadau.

Tumekumiss Josee JF person of the year 2017 Rudi kundini.

[HASHTAG]#bringbackourjoseverest[/HASHTAG]

Joseverest
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom