Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Atakuwa amewekwa ndani na madem wa JF,believe me!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh. [emoji15] [emoji15] [emoji15]Muulize Emmyta ndo wanajuana wapolalaga huko ndani kwao.
Nimemweka ndani mimi. Any problem?Atakuwa amewekwa ndani na madem wa JF,believe me!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 693914 Mzuka Wanajamvi?
Kulikoni jamiiforums person of the year 2017 dogo Joseverest haonekani jamvin siku hizi. Josee kila thread ulimkuta Tena wa kwanza kukomenti Na hapiti wa tano. Hata Uganda forum alikuwepo.
Wadau wanadai labda dada yake kachoka kumkingia kifua kwasababu za bandle za bure Na kujikunja mguu kwenye sofa Hadi Shemeji yake kamind nakumtimua Sasa Yuko uswaz ghetto la msela anavizia WiFi za bure.
Wanoko wengine wanadai josee Yuko kwenye ndoa halafu Shemeji Yetu ana wivu kichizi kamzuia kuingia kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja Na JF akidhani anatega milupo. Zote hizi Ni tetes kutoka kwa wadau.
Tumekumiss Josee JF person of the year 2017 Rudi kundini.
[HASHTAG]#bringbackourjoseverest[/HASHTAG]
Joseverest
Rafiki leo umepatikana!Hata sio ya kweli haya. Mie mwenyewe nashangaaaa ujue.
Itakuwa kajisikia kumtaja Emmy wa watu sio bure.
Any problem ni kwamba kama huna chura utakuwa tu unamsumbua mwanaume mwenzetu!Nimemweka ndani mimi. Any problem?
Hahahaaa. Yaani nimepatwa kabisa rafiki yangu.Leo rafiki umepatikana!
Ningekuwa namsumbua si angekimbiaAny problem ni kwamba kama huna chura utakuwa tu unamsumbua mwanaume mwenzetu!