King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Anazeeka
Mwigulu ni katoto tu haka usidanganyike na uvimbe wa sura yake.Laana gani!?..mtu 50+ unasema mdogo!?
Hasira za nini mkuu? Mbona wazuri tunawasifia kwa mwonekano ndio kusema tunakosea? Tunawajudge?Nakubaliana na wewe, wapumbavu wengi wanawa judge wenzao kwa muonekano ambao wanahisi na kudhani wao. Wengi wao wanaosema au kuwaita wenzao wamekosa Nuru wachunguze utagundua ni simple minded.
Harafu huwa vinamatokea mabaya mbelenivijichokochoko vimeanza
Uzee kaka umri unaendaNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838
Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Itakuwa mambo yake kwa wataalamu hayaendi vizuri au jingine?Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Anawaza namna ya kumpindua mama na kuchora tena mawe kwa 2025, kumemfanya aanze kufanana na Dr Shein 🤣🤣🤣Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Miaka 50 siyo mtotoMwigulu ni katoto tu haka usidanganyike na uvimbe wa sura yake.
Hajatajwa na ka-flag?Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
🤣🤣🤣Huwa anakutafuna, mpaka namba unayo
Huyo alifoji vyeti,kiuhalisia umri wake ni 60+.Kwani huyu jamaa ana umri gani, maana kwa ninavyomuona hapo inawezekana vyeti na uhalisia ni tofauti.
Ebu tuwekee picha yake yenye nuru na isiyo na nuru tulinganishe.Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
majungu.......au afya.....au fitna.....au urais.......au kesharogwa yuko njia pandaNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Kwamba ni mzee kuliko Museveni na Kagame?Kwani huyu jamaa ana umri gani, maana kwa ninavyomuona hapo inawezekana vyeti na uhalisia ni tofauti.