NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Labda ukwimi wake unjiitokeleZesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukari kaziniNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Kuzeeka kupo na ni 22/7 kama ukiishi umri mrefu ila kasi ya kuzeeka ndo inatofautiana.Uzee sio ugonjwa halafu kila mtu atazeeka tu kama atajaliwa maisha marefu.
Kwa wenzetu miaka 50 ni sawa na 25 ila huku Tanzania mtu akiwa na miaka 50 anajiona ni mzeeMiaka 50 siyo mtoto
Wenzako akina nani!?.. wayne rooney unamjua,ana umri gani?Kwa wenzetu miaka 50 ni sawa na 25 ila huku Tanzania mtu akiwa na miaka 50 anajiona ni mzee