Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?


Huwa natamani sana kuona hizi sura zenye upendo na furaha zikiwa katika nyuso za viongozi wetu bila kujali itikadi za vyama vyao..huu Ndio u Tanzania wetu tunapaswa kujivunia kwa Hilo lakini matokeo yake imekuwa ni kinyume chake na watu wamejenga uadui mkubwa sana na kuwaziana mambo mabaya na kukomoana kisa tu wamepishana mitazamo. Mungu atunusuru katika hili
 
Nimeona kumbukizi ya Gerson akionyesha picha mbalimbali za wabunge wa Upinzani akiwemo Halima Mdee wakiwa na Mhe. Rais, picha hizi zilipigwa awamu ya nne na leo zipo mitandaoni.

Wakati huohuo wanaccm wanatuaminisha kwamba Hawa Msigwa anaosambaza picha zao wakiwa na Mhe.Rais ni waalifu na hawaitakii mema nchi yetu.

Je, kwanini hizi picha za waalifu zisambazwe leo 2020? Mbona zinasambazwa Kama vile Ni picha za mashujaa wa Taifa na siyo waalifu? Kwanini mashujaa Hawa wananyanyasika kwa kuwa upinzani na shujaa mwenzao atoi onyo.

Mashujaa wa Taifa letu lindaneni pls
 
Kwa hiyo unataka kuungana Naye kwenye ujinga wake???

Wakati akiombea Corona ije na wewe unaidhihaki familia ya Mbowe Kwa ndani Kwa vile wamekuwa wahanga wa hili dubwasha Corona,

Hii Corona ikiiva vizuri kabisa hakuna aliye salama, si huyo aliyeomba ije ama anayefurahia mtu akipatwa Corona
 
Magufuli ni bonge moja la mnafiki hususani kama kuna kitu anataka kwako, akikuweka karibu usidhani anakupenda sana.

Magufuli alikuwa anamkumbatia mpa Lissu.

Awamu ya ndio pambio alizokuwa anamwagia Kikwete ni kukata na shoka.

Hata sasa licha ya ukatili na ufisadi wa kutisha kajisitiri.

Subiri awamu ya pili ya utawala wake ndio FUNGA KAZI
 

Aliye kulaani alikuongezea mzigo mkubwa usioweza kuubeba, ni heri angelikuacha tu na uchizi uliotoka nao tumboni mwa mamayo!!! Ungelikutosha, nakuhurumia Kwa mizigo miwili kwenye bichwa lako

Jinga Sana wewe
 
Siasa za Mnyika zimekuwa ngumu sana kueleweka siku hizi, kama anashinikizwa hivi. Sijui... laakini mda utatueleza yote.
 
Guilt consciousness
Nasikia kuna watu walirudia getini kwa Halima hawakuruhusiwa kuingia
Au
Msigwa anaanza kujihukumu kujua muda wa kuishi ikulu unayoyoma waanze kujiaminisha kwa wananchi Tupo Pamoja'
Damage iliyofanyika au iliyofanywa na utawala huu ni kubwa mno itakuwa vigumu kuwasahaulisha watu
 
Hizo picha si kama alivyowahi kusema kafulila kuwa Magu wakati Wa Escorow aliwaambia wawabane mafisadi warudishe fedha na alipoteuliwa fisadi la kwanza kuula ni Prof. Mkweli na akamrudisha kutuwashia umemr nako akalamba tena akamtema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…