Nini kimemuua CPwaa? Kuna kitu hakijakaa sawa

Siku hizii Dr hawana shida ni kuandika VIRAL PNEUMONIA TU mengine mtajua wenyeweee...!!
 
Hivi we katika akili ya kawaida unadhani uzalendo ni kumpenda Magufuli? Big noo uzalendo ni kumpenda Tanzania.
Uzalendo ni kuipenda nchi yako na vilivyomo ikiwa ni pamoja na wananchi wenzako
Naipenda nchi yangu, nampenda rais wangu John Pombe Magufuli, na hata wewe Taisho fuyaki nakupenda👍
 
Uzalendo ni kuipenda nchi yako na vilivyomo ikiwa ni pamoja na wananchi wenzako
Naipenda nchi yangu, nampenda rais wangu John Pombe Magufuli, na hata wewe Taisho fuyaki nakupenda👍
Kumpenda mtu au kumchukia inategemea na namna mnavyoathiriana au kuathiri jamii yako mfano nchi hii ni yetu sote tuko juu yake ardhi yake haijatukosea kitu Sana Sana inatupa maziwa na asali.

Pia Mimi Taisho fuyaki huwezi kunichukia kwasababu sijakukosea lolote.

Ila wanasiasa tunaweza kuwachukia kutokana na namna wanavyotutawala na kutuongoza mwanasiasa anayependa vurugu ubabe kuumiza wengine huku yeye hasimpathize nao hata kidogo mwanasiasa mvurugaji mharibifu mchochea chuki mwanasiasa ambaye Leo anaweza kumteka baba yako halafu kesho akasimama mbele ya madhabahu ya Mungu bila aibu nk huyu nikimpenda nitakuwa mnafiki mbele ya Mungu nafsi yangu na wanadamu.
 
Uzalendo ni kuipenda nchi yako na vilivyomo ikiwa ni pamoja na wananchi wenzako
Naipenda nchi yangu, nampenda rais wangu John Pombe Magufuli, na hata wewe Taisho fuyaki nakupenda👍
Kwahiyo waganda wampende idi amini dada weweeeeeee.....!!!?
 
Kwa mfano, tuseme CPwaa aliugua Corona. Hivi hapa Tz ingetangazwa amekufa kwa Corona? Thubutu.

Mimi naamini kabisa, maoni yoyote ni sahihi kuhusu kilichomuuw CPwaa maana tupo kwenye nchi ya giza kwenye suala la kupata taarifa sahihi kuhusu Corona.
 
Haitabadilisha kitu kuanza kujua nini chanzo cha kifo chake. Unless kama unahisi ameuwawa ili haki itendeke.
Tetesi ni korona na km ni korona tayari hiyo ni alarm kwamba hali si shwari.Kila mtu aanze kuchukua tahadhari, ndio cha kujifunza hapo.
 

Sidhani kama mtoa mada kalenga covid 19. Labda ni yale yale ya zamani. Maana nayo bado yapo. Vijana wachukue tahadhari tu kwa kila gonjwa la kuambukiza.
 
Ni kifo ndo kimemuua.
 
Kifo kimeumbwa kwa ajili ya mwanadamu

Ova
 
Ni ujinga kuamini kuwa TZ pekee watu wake hawawezi kuugua kovidii.
 
😳😳 Kijana mwenye umri wa miaka minne au mitano?
Philosophy iliyotumika hapo ni kubwa mnoo kuliko saizi ya ubongo wako huwezi elewa...
ndio maana akili yako ime jam!!?.......
mtoto huamini kile anachoambiwa na wakubwa zake bila kuhoji wao hupokea tu......
wtz wengi wameamini maneno ya viongozi wao...
kwa hivyo wtz wengi ni kama.........
malizia mwenyewe hapo
 
COVID-19 chukua tahadhari husika.
Ila wahusika waoga na wana maagizo makali wasiseme hadharani, mbaya sana hii..
CORONA ipo, tuendelee kachukua TAHADHARI RAIA..
 
Huyu demu picha ya chini kabisa wa kwanza kushoto anaitwa Stellah Ntumo
 
Mkuu unapoteza muda wako bure tu. Akili za mtu kama BAK, ni zile za kutaka kila tukio baya lihusianishwe na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…