Nini kimepelekea gari za nissan Y62 isifanye vizuri kama nissani y61 na y60

Wakuu mwenye uelewa na Nissan hardbody natamani kuijua kiundani hasa performance yake ktk off road na utulivu wa barabarani maana naona taasisi nyingi za serikali na binafsi wanazitumia
 
Nimepata kutumia Nissan Hardbody NP 300, Toyota Hilux Vigo na Ford Ranger Speed 2.2 l na 3.2 L, Kwenye barabara za mbavu za mbwa , tope kiujumla offroad Nissan Hardbody ni nzuri kwa maana ni nzito na hai hami kama hizo gari nyingine, ni nzito na inatulia tu. Kuhusu kwenye matumizi ya 4WD Nissan ni full manual na ina nguvu sana 4WD. Ford ranger zina automatic 4WD ina kitufe kama cha kuongeza sauti kwenye radio za zamani unazungusha tu kupata gia ya 4WD, Sema kuhusu Luxury na comfortability ndani ya cabin Ford rangers ni nzuri ikufuatiwa na Toyota Hilux then Nissan.
 
Nashkuru mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…