Hata mimi nimeiona sasa. Sijui kulikoni.SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana Kardinali Pengo ameshaondolewa jimboni ni mimi tu ndiyo sina taarifa?
Je, kuna mjadala wowote humu JF kuhusu kuondolewa Pengo labda umenipita?
Wana JF naomba ufafanuzi maana mantiki sijaielewa.
Website hii hapa:
Archdiocese of Dar-es-Salaam – Roman Catholic
Unamkubali kuliko pengo ?Hata mimi nimeiona sasa. Sijui kulikoni.
Wahusika watatufafanulia.Ila binafsi namkubali ARCHBISHOP JUDE THADEUS RUWAICHI
wanaifanyia scrub, soon watairudisha hy pic
Absolutely Yes. Nimetoa sababu kwa nini. Ila utume wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ulikuwa wa kutukuka licha ya changamoto zake za hii miaka ya karibuni.Unamkubali kuliko pengo ?
Itachukua Miongo kadhaa Wafipa kupata Tena Madaraka makubwa Baada ya Mizengo Pinda Na Kardinal Pengo
Pengo alikuwa Na Hikma Sana
Yule mzee Aende tu miyeyusho sanaNi kama website ya ikulu ukute haina jina, wasifu na picha ya rais aliyepo madarakani hapo ujue kuna shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Watangulizi wake wapo?Mkuu, ukiingalia website yote siyo picha tu, hata maelezo yake hakuna, yaani ni kama vile kuna adhabu fulani hivi!
Tangu mwishoni mwa mwaka jana,Ruwaichi aliteuliwa na pope kua askofu mwandamizi wa jimbo kuu la dsm.SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana Kardinali Pengo ameshaondolewa jimboni ni mimi tu ndiyo sina taarifa?
Je, kuna mjadala wowote humu JF kuhusu kuondolewa Pengo labda umenipita?
Wana JF naomba ufafanuzi maana mantiki sijaielewa.
Website hii hapa:
Archdiocese of Dar-es-Salaam – Roman Catholic
Tangu mwishoni mwa mwaka jana,Ruwaichi aliteuliwa na pope kua askofu mwandamizi wa jimbo kuu la dsm.
Kua askofu mwandamizi kunampa mamlaka sawa na ya askofu mkuu wa jimbo na kua askofu mwandamizi ina maanisha yeye ndiye atakayechukua nafasi ya aliepo pindi aliyepo muda wake utakapoisha kwa kuzingatia umri wa kustaafu(miaka 75) au kustaafu kutokana na kushindwa kufanya majukumu sababu ya maradhi.
Pengo anakaribia umri wa kustaafu ama amefikia pia ni mgonjwa,kwa maana hiyo askofu ni Ruwaichi hivyo ndio imepelekea ulichokiona kwenye website.
Kwa ufahamu wangu mdogo,ndio hivyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app