Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam

Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.

Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.

Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana Kardinali Pengo ameshaondolewa jimboni ni mimi tu ndiyo sina taarifa?

Je, kuna mjadala wowote humu JF kuhusu kuondolewa Pengo labda umenipita?

Wana JF naomba ufafanuzi maana mantiki sijaielewa.

Website hii hapa:

Archdiocese of Dar-es-Salaam – Roman Catholic

Labda karuka kaenda mbinguni..!!
 
Swali la nini wakati unajua wazi Mwadhama Ruwaichi alishateuliwa? Kwani aliacha Mwanza kuja Dar kufanya nini kama si kuchukua nafasi ya Pengo? Na wewe bila shaka unajua afya ya Mwadhama Pengo nayo haiko vizuri saàana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The archdiocese’s motherchurch and thus seat of its archbishop is St. Joseph’s Cathedral. The current Archbishop of Dar-es-Salaam is His Grace Jude Thaddaeus Ruwa’ichi. Maana yake yeye ndiye askofu mkuu wa Dar kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la nini wakati unajua wazi Mwadhama Ruwaichi alishateuliwa? Kwani aliacha Mwanza kuja Dar kufanya nini kama si kuchukua nafasi ya Pengo? Na wewe bila shaka unajua afya ya Mwadhama Pengo nayo haiko vizuri saàana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya majina ya maaskofu wastaafu
Askofu Emmanuel Mapunda-Mbinga
Askofu Gabriel Mmore-Mtwara
Askofu Jacob Koda-Same
Hao wachache nlioweza kuwapata kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Gabriel mmole alikuwa na miaka 76.7 hivyo umri wa kustaafu ulikuwa umezidi maana ni miaka 75

Emmanuel matunda alikuwa na umri wa miaka 75.2 hivyo umri ulikuwa tayari

Jacob venance Koda alilazimishwa kustaafu na Vatican walitoa statement ya kustaafisha kuwa ni kwenda kinyume na utume wake.

Askofu mkuu Cardinal Pengo bado hajafikisha miaka 75. Sawa tuseme ugonjwa ni kweli na wala siyo uongo kuhusu kuteteleka kwa afya yake.Je ni kwa nini aondolewe kwenye website ya jimbo bila Waumini wake kuambiwa?
 
Kama kawaida yao kuwa ccm wakishakutumia nawakiona huna maslahi nao wanakufirinisha na kukutupa! Atubu kwa sauti ili wnarc wamsamehe kwa jinsi alivyokuwa anawanafikisha kwa ccm!
 
Ndugu ilishatangazwa Pengo atapumzika na Rwaichi atachukuwa mahali pake, ila kuna baadhi ya mambo yanafanyika niyandani na yakiutawala/uongozi ambayo hayatangazwi. Yanafanyika kiutawala zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi inawezekana hata nyumba ya askofu pale Kurasini lile ghorofa, Pengo ameshaondoka na linakaliwa na Ruwa'Ichi.
 
Swali la nini wakati unajua wazi Mwadhama Ruwaichi alishateuliwa? Kwani aliacha Mwanza kuja Dar kufanya nini kama si kuchukua nafasi ya Pengo? Na wewe bila shaka unajua afya ya Mwadhama Pengo nayo haiko vizuri saàana!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Issue ni kwamba, je, Pengo ameshakuwa mstaafu? Yaani Je, tumwite Askofu Mstaafu wa D'Salaam?
 
Nina dukuduku hapa. Kwa nini aondolewe kwenye website wakati bado ni askofu mkuu wa jimbo?Maana ukiangalia website ya jimbo picha ni za askofu Ruwaichi tu na hata pale anapoonekana Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ni katika kumwonyesha siku ya mapokezi ya Ruwaichi ilivyokuwa.

Je kesho kanuni ya misa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hatatajwa?

Je ukiwa mwandamizi husimikwi tena? Maana siku ile askofu mkuu ruwaichi aliwafanyiwa misa ya mapokezi tu ila hakusimikwa maana hakukalia Kiti cha jimbo yaani CATHEDRA.

REJEA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU FRIDOLIN AMBONGO OFM cap jimbo la Kinshasa baada ya kustaafu Mwadhama Mwonsengo Pasinya (78) miezi takribani mitatu au minne iliyopita.

Labda hii makala nimeiona mahala inweza kusaidia:

Askofu Ruwa’ichi ana mamlaka makubwa kuliko Kardinali Pengo
 
Pengo mtu makini na hna unafiki wowote, shida yako atakuwa hujawahi kumsifia mbowe au Lissu na hiyo ndo inafanya wewe uwe mnafiki namba moja. Unaweka uchama kama ndo haki ya kuzaliwa hivi na wewe kama mkatoliki basi utakuwa wale fuata mkumbo. Watu kama pengo sio tu magenius bali pia ni makini sana ndo mana kuwaelewa watu wenye akili finyu na iliyokwisha kuharibiwa na ** MAJIBU MBELE**
Pengo = mpigadebe wa com

PENGO = KADA MTIIFU WA CCM

Pengo = hakuheshimu waumini wala utume wake

Pengo.....mnafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengo mtu makini na hna unafiki wowote, shida yako atakuwa hujawahi kumsifia mbowe au Lissu na hiyo ndo inafanya wewe uwe mnafiki namba moja. Unaweka uchama kama ndo haki ya kuzaliwa hivi na wewe kama mkatoliki basi utakuwa wale fuata mkumbo. Watu kama pengo sio tu magenius bali pia ni makini sana ndo mana kuwaelewa watu wenye akili finyu na iliyokwisha kuharibiwa na ** MAJIBU MBELE**

Sent using Jamii Forums mobile app

Serikali, msiwafundishe maaskofu kuandika nyaraka za kanisa----Pengo, July 2009
 
Back
Top Bottom