Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 194
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Alikuwa na hikma sana"Itachukua Miongo kadhaa Wafipa kupata Tena Madaraka makubwa Baada ya Mizengo Pinda Na Kardinal Pengo
Pengo alikuwa Na Hikma Sana
Kumbe hata ndani ya KANISA kuna ukabila(ubaguzi),basi si ajabu kwa hayo aliyoyasema@adolay kuwa ni kweli.Kweli Pengo Muadhama Kardinali alikuwa mtu mmoja mkabila na mkanda japo alininyima kuwa Padri lakini siwezi kumjadili kama ulivyo mjadili hivi. Ka weye ni mkatoliki mwenzangu, lazima una lako jambo sio bure. Samehe
Kuna shida muislam kama mimi kuchangia jukwaani?,au shida ni kutumia neno hilo?kuna maana gani kusema "wewe ni muislamu"wakati mwenzio hapo@adolay anashangaa mambo ya ubaguzi kama wako,ni muathirika wa ndoto yake kwa ubaguzi.Wewe ni muislamu wakristo hawanaga neno hikma bali ni hekima
SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana Kardinali Pengo ameshaondolewa jimboni ni mimi tu ndiyo sina taarifa?
Je, kuna mjadala wowote humu JF kuhusu kuondolewa Pengo labda umenipita?
Wana JF naomba ufafanuzi maana mantiki sijaielewa.
Website hii hapa:
Archdiocese of Dar-es-Salaam – Roman Catholic
SWALU HILI SIJATARAJIÀ LITATOKÀ KWA MUUMINI WA KIROMA
HATA TULIO NJE TUNAJUA ASKOFU JUDE NDIE MRITHI WA ASKOFU PENGO
NA KUTOKANA NA AFYA YAKE HATOWEZA KUENDELEA TENÀ NA MAJUKUMU YAKE......
Tangu mwishoni mwa mwaka jana,Ruwaichi aliteuliwa na pope kua askofu mwandamizi wa jimbo kuu la dsm.
Kua askofu mwandamizi kunampa mamlaka sawa na ya askofu mkuu wa jimbo na kua askofu mwandamizi ina maanisha yeye ndiye atakayechukua nafasi ya aliepo pindi aliyepo muda wake utakapoisha kwa kuzingatia umri wa kustaafu(miaka 75) au kustaafu kutokana na kushindwa kufanya majukumu sababu ya maradhi.
Pengo anakaribia umri wa kustaafu ama amefikia pia ni mgonjwa,kwa maana hiyo askofu ni Ruwaichi hivyo ndio imepelekea ulichokiona kwenye website.
Kwa ufahamu wangu mdogo,ndio hivyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaaa na urithi wakes HIVI malizao wanarithi kinananiiii naulizatuPengo walishamfyatua siku nyingi,siku hizi haruhusiwi kutoa kauli kwa niaba ya kanisa labda kuhusu ugonjwa wake tu.
"Alikuwa na hikma sana"
Pengo walishamfyatua siku nyingi,siku hizi haruhusiwi kutoa kauli kwa niaba ya kanisa labda kuhusu ugonjwa wake tu.
Hahaha!!!!Nasikia Pengo alimtusi Papa kwenye simu, tena kwa kushirikiana na Jiwe.
Pengo ni mfipa wa sumbawanga mkoani rukwa na Pinda ni mpimbwe wa mlele mkoani kataviItachukua Miongo kadhaa Wafipa kupata Tena Madaraka makubwa Baada ya Mizengo Pinda Na Kardinal Pengo
Pengo alikuwa Na Hikma Sana
Je ndo aachie madaraka kimyakimya? Refer case ya kustaafu kwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Kinshasa Mwadhama Laurent kardinali Mwonsengo pasinya na kusimikwa na kuwekwa kwenye Kiti askofu mkuu mwandamizi FRIDOLIN AMBONGO OFM CapSWALi HILI SIJATARAJIÀ LITATOKÀ KWA MUUMINI WA KIROMA
HATA TULIO NJE TUNAJUA ASKOFU JUDE NDIE MRITHI WA ASKOFU PENGO
NA KUTOKANA NA AFYA YAKE HATOWEZA KUENDELEA TENÀ NA MAJUKUMU YAKE......
FaizaFoxy,Ngoja tumuulize boss wake, papaa Francis huko Vatikano isijekuwa ndiyo katika wale wenye shutuma, maana habari zinaonesha papaa Francis anajaribu kusafisha uozo ndani ya kanisa, alishauriwa kusafisha: Pope Francis must clean up the Vatican
Papaa nae anatumbua!
Je ndo aachie madaraka kimyakimya? Refer case ya kustaafu kwa Askofu mkuu wa jimbo kuu la Kinshasa Mwadhama Laurent kardinali Mwonsengo pasinya na kusimikwa na kuwekwa kwenye Kiti askofu mkuu mwandamizi FRIDOLIN AMBONGO OFM CapView attachment 1052717