- Thread starter
- #21
Tangu mwishoni mwa mwaka jana,Ruwaichi aliteuliwa na pope kua askofu mwandamizi wa jimbo kuu la dsm.
Kua askofu mwandamizi kunampa mamlaka sawa na ya askofu mkuu wa jimbo na kua askofu mwandamizi ina maanisha yeye ndiye atakayechukua nafasi ya aliepo pindi aliyepo muda wake utakapoisha kwa kuzingatia umri wa kustaafu(miaka 75) au kustaafu kutokana na kushindwa kufanya majukumu sababu ya maradhi.
Pengo anakaribia umri wa kustaafu ama amefikia pia ni mgonjwa,kwa maana hiyo askofu ni Ruwaichi hivyo ndio imepelekea ulichokiona kwenye website.
Kwa ufahamu wangu mdogo,ndio hivyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipe majina ya maaskofu waliofikisha miaka 75 wakafanyiwa anayofanyia Pengo sasa hivi.