Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

Mimi siyo mkatoliki lakini huyo askofu namsikilizaga sana... ni mzungumzaji mzuri, hachoshi ukimsikiliza. Mwingine ni yule wa dodoma sijui anaitwa nani ila hao jamaa ni wazuri sana kwenye kuzungumza.
Wa dodoma ni ASKOFU MKUU Beatus kinyaiya OFMcap
 
Alitaka kupoteza heshima yake kwa kujifanya kada
 
An
Kama ni hivyo basi picha ingeondolewa anapofikisha miaka 75 na tungetangaziwa.
Dogo ingia kwenye list ya current bishops ndio uprove kama ameondolewa au lah? Mamlaka hayupo uwepo wa picha kwenye website kuna kipindi kwenye picha waliwekwa askofu nzigilwa na libena.. Hata kabla huyo ruwaichi hajaja, tusiwe na hisia hasi na kuleta vijimaneno tujiridhishe kabla ya taarifa.
 
Itachukua Miongo kadhaa Wafipa kupata Tena Madaraka makubwa Baada ya Mizengo Pinda Na Kardinal Pengo
Pengo alikuwa Na Hikma Sana

Unajuaje hayo yote? Mwenyezi Mungu huwa anatupa suprise...kama surprise ya mambo ya awamu ya tano.
All in all, muda utasema yote.
 
Kadinali hastaafu kwa umri. Hutumbuliwa.
 
Nadhani umeingia website ya jimbo sasa hivi ndiyo maana umekurupuka na hii comment. Mleta mada hakukurupuka Pengo alikuwa si tu ameondolewa bali pia hakuwa askofu wa dar es salaam. Unasemaje sasa baada ya hizi screenshots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…