Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe 18 June 2020 Panya Mjanja Kipenzi chetu katoweka kabisa haonekani.
Je, hii haina maana kwamba labda Paka Mbishi wa Magogoni ameshaweza Kumtega huyo Panya Mjanja na muda wowote atamtafuna hadi Kufa?
Je, hii haina maana kwamba labda Paka Mbishi wa Magogoni ameshaweza Kumtega huyo Panya Mjanja na muda wowote atamtafuna hadi Kufa?