Nini kimepelekea Panya Mjanja wa Mtandaoni Kiboko ya Paka Mbishi wa Magogoni kutoweka ghafla?

Ndugu huyu uliyemtaja hapa ndiyo nani? Mbona Mimi hata simjui? Ninayemuongelea ( Mjadili ) hapa ni Panya Mjanja na Mwenzake Paka Mbishi.
Bc mkuu nieleweshe kuhusu huyo panya maana najikuta nimetoka nje ya mada
 
Nilichofurahi, na ninaahidi kukunulia soda ni pale nilipoona umeanza kuwa na heshima ni baada ya kubadili tune yako na kuanza kuwa humble.

Hayo ya u Brainy chap hayana maana as long as akili yako imeanza kukaa sawa

Umeshaijua maana ya neno hilo Brainy Chap? Tuanzie hapo Kwanza manake usije ukawa unachangia tu ila neno lenyewe wala hujalielewa kabisa.
 
Hivi Kikubwa Kinachodaliwa hapa ni Hoja ya Panya Mjanja wa Mtandaoni na Mwenzake Paka Mbishi wa Magogoni au ni Heading yangu? Pumbavu!
Uandishi ukiwa mbaya haivutii hata habari yenyewe kuisoma,Ila heading ikiwa nzuri fupi inavutia mtu kuisoma na kuijadili halafu sio kosa mtu kukukosoa ni jambo la kawaida tu
 
Umeshaijua maana ya neno hilo Brainy Chap? Tuanzie hapo Kwanza manake usije ukawa unachangia tu ila neno lenyewe wala hujalielewa kabisa.
Acha kunitoa kwenye reli, nimegundua , kumbe unaweza kuwa humble halafu unajitia kujitoa ufahamu kwa kutukana tukana watu ovyo.
 
Bc mkuu nieleweshe kuhusu huyo panya maana najikuta nimetoka nje ya mada

Siku zingine mkiona Mada imeanzishwa Kimafumbo basi na nyie pia jitahidini Kuijibu / Kuichangia Kimafumbo hivyo na siyo kuwa na Viherehere.
 
Uandishi ukiwa mbaya haivutii hata habari yenyewe kuisoma,Ila heading ikiwa nzuri fupi inavutia mtu kuisoma na kuijadili halafu sio kosa mtu kukukosoa ni jambo la kawaida tu

Mbona safari umekuja na Lugha ya Kinidhamu, Umakini, Upole na ya Kilokole sana Ndugu? Umegundua labda kuna Dhahama ilikuwa inakufuata?
 
Kama wewe umejirekebisha tabia , kuna ubaya gani jamaa naye akijirekebisha ?
 
Vita ya maneno wanapigana wanawake au wewe sio riziki ?
Wanaume wanaingia kwenye battle field

Hivi na Wewe unajiita Mwanamume kabisa na Kamili au ni Uncircumcised Baboon unayenipotea muda tu hapa? Umelianza hakikisha Unalimaliza.
 
Kama wewe umejirekebisha tabia , kuna ubaya gani jamaa naye akijirekebisha ?

Bado hujanijibu Swali langu je, umeshajua maana ya neno hilo lililopo katika Signature yangu la Brainy Chap? Kama umeshajua nieleweshe upesi.
 
Neno breinii chapu unasema lipo kwenye signature yako, yet una demand mimi nikueleweshe, ina maana unalitumia pasipo kujua maana yake ?

Are you insane ?
 
Ndiyo nataka sasa Wewe mwenye kujua na kuelewa maana yake uniambie tafadhali. Fanya upesi nasubiri unipe maana yake Wewe Wordsmith.
 
Back
Top Bottom