Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajishitukia tu kilaza [emoji23]Mbona safari umekuja na Lugha ya Kinidhamu, Umakini, Upole na ya Kilokole sana Ndugu? Umegundua labda kuna Dhahama ilikuwa inakufuata?
Kigogo2014Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe 18 June 2020 Panya Mjanja Kipenzi chetu katoweka kabisa haonekani.
Je, hii haina maana kwamba labda Paka Mbishi wa Magogoni ameshaweza Kumtega huyo Panya Mjanja na muda wowote atamtafuna hadi Kufa?
Kesho saa 2 asubuhi tunakuomba kituo cha katiYuko busy anatengeneza forum yake so tuwe na subira.
ni ngumu sana...si rahisi kama unavyofikiri 7bu twitter wanaprovide security ya privacy ambayo hata FBI inawatoa jasho kupata....labda watu wamlaghali awape yeye mwenyewe bila kujua itakuyokuwa ili kufutilia nyumaUkishakuwa ndani ya network ni swala la muda tu huwezi kuwa completely anonymous kila Tag within the network lazima iwe assigned na ijulikane ipo wapi
Kabisa,hata mimi nilitaka kusema hivyo.Bila shaka unamuongelea kigogo@2014 ???
Ninayasema haya kama mwana industry piani ngumu sana...si rahisi kama unavyofikiri 7bu twitter wanaprovide security ya privacy ambayo hata FBI inawatoa jasho kupata....labda watu wamlaghali awape yeye mwenyewe bila kujua itakuyokuwa ili kufutilia nyuma
Kwa hiyo wamefahamiana sasa na huyo asiyejulikanaHuenda kakutani na asiye julikan...!
Kama ndivyo huko aliko anajua mwenyewe..
Hatimaye kigogo@2014 yuko mikono salamanahisi huyu jamaa kaamua kuwapotezea kidogo halafu aibuke ghafla na makabrasha ya kutosha
ni ngumu sana...si rahisi kama unavyofikiri 7bu twitter wanaprovide security ya privacy ambayo hata FBI inawatoa jasho kupata....labda watu wamlaghali awape yeye mwenyewe bila kujua itakuyokuwa ili kufutilia nyuma
Kitu kibaya mnachoamini ni kudhani yule bw ni guru asilimia 100 wa hizi mambo.hata wiki mbili hazikwisha nilimtonya halafu akadhihaki kwa dharau.ni ngumu sana...si rahisi kama unavyofikiri 7bu twitter wanaprovide security ya privacy ambayo hata FBI inawatoa jasho kupata....labda watu wamlaghali awape yeye mwenyewe bila kujua itakuyokuwa ili kufutilia nyuma
sijui kwanini umesema namuamini! by theway mimi simwamwini wala sijafollow hapo nimetoa maoni yangu mimi kama mimi..Kitu kibaya mnachoamini ni kudhani yule bw ni guru asilimia 100 wa hizi mambo.hata wiki mbili hazikwisha nilimtonya halafu akadhihaki kwa dharau.
Ukiachana na zile movies za 87 za akina kipensi,makomndoo huwa ni wengi,na kama unajiona ni elite kuliko wengine,utatumiwa wenzako ambao mmepiga nao kozi wakuzimishe,ikishindikana utaletewa hata watu kutoka sehemu nyingine wenye uwezo kukuzidi.
Huyu either arudi na sura nyingine,au arudi akiwa na maudhui tofauti.
Faida yake nini sasa? maana Mange nae alipambana weee ila kwenye kuandamana watu wakanyuti akaishiwa nguvu akasusa,akaja kurudi kwenye corona ila ndio kwanza wabongo wanaendelea na maisha yao mikusanyiko kama kawaida,akaona anampigia mbuzi gitaa.