yupo sehemu ana hibernate.....Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe 18 June 2020 Panya Mjanja Kipenzi chetu katoweka kabisa haonekani.
Je, hii haina maana kwamba labda Paka Mbishi wa Magogoni ameshaweza Kumtega huyo Panya Mjanja na muda wowote atamtafuna hadi Kufa?
Kama na wewe ulikuwa follower wake, basi jamaa alikuwa na followers vilaza wengi sanaTulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe 18 June 2020 Panya Mjanja Kipenzi chetu katoweka kabisa haonekani.
Je, hii haina maana kwamba labda Paka Mbishi wa Magogoni ameshaweza Kumtega huyo Panya Mjanja na muda wowote atamtafuna hadi Kufa?
Akili imeanza kukukaa sawa, naona dawa imekuingia barabara, safi sanaAngalia jinsi unavyoteseka na Mimi Mzukulu a.k.a Brainy Chap yaani kila Uzi ambao nitauanzisha ni lazima tu utaufuata. Ukibarikiwa Umebarikiwa!
Achana naye huyo... viongozi wa ccm walimfollow kigogo 2014..na jamaa yupo anajipanga upyaAngalia jinsi unavyoteseka na Mimi Mzukulu a.k.a Brainy Chap yaani kila Uzi ambao nitauanzisha ni lazima tu utaufuata. Ukibarikiwa Umebarikiwa!
Nilichofurahi, na ninaahidi kukunulia soda ni pale nilipoona umeanza kuwa na heshima ni baada ya kubadili tune yako na kuanza kuwa humble.Kama Signature yangu inakumbia Mimi Mzukulu ni Brainy Chap sasa utasemaje tena Akili haiko sawa? au hujui maana na neno hili la Brainy Chap?