Ni kinyume chake ukilinganisha na 2020.Watiania wa mwaka huu ni kama nusu ya watiania wa 2020.Ingefaa na kwenye nafasi ya urais waongezeke watia nia
Mbona namba za watia nia zinaonekana kuwa juu 2020 tofauti na sasa?Ni kinyume chake ukilinganisha na 2020.Watiania wa mwaka huu ni kama nusu ya watiania wa 2020.
Sio kweli, 2020 watia nia walikua wengi kuliko mwaka huu 2025Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
Jibu hili, watu wako tayari kuacha kazi zao serikalini ili kwenda kusinzia pale Dodoma huku ukipata posho nono kwa kazi kiduchuni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Sawa sawaKwa Nafasi Ya Ubunge Ni Kwasababu Ya Uhakika Wa Kugegedana Mjengoni (we Kwa Chura Za Waheshimiwa Wale,na Udom Girls) Nani Ataki Fursa Hizo?
Wengine Wanaenda Bcoz Wanapenda Milio Ya Kugonga Meza,milio Yake Inawafariji Kama Makada Wa Chama,na Akigonga Meza Tu Kwa Mwezi Ni Malipo Ya Tsh Mil 19 Na Mav8 Bure,mbunye Bwerere.
Kidogo Madiwani,wanaweza Wakawa Na Mipango Ya Kuwatumikia Wananchi Coz Tunaishi Nao Vichochoroni,ila Mihuri Wanaitumia Vibaya,na Nguvu Yake Ni Kubwa Mitaani,kwenye Biashara,deals Nk
Wangapi?
Hata zamani watu waliacha kazi kwenda bungeni. Akina Sarungi, Kigoma, Anne Tibaijuka, Magufuli, nk. Kulikoni leo?Jibu hili, watu wako tayari kuacha kazi zao serikalini ili kwenda kusinzia pale Dodoma huku ukipata posho nono kwa kazi kiduchu
Kwanini wana uhakika wa 💯 kushinda Sasa kuliko huko nyuma?Jamani maswali mengine mnaulizaga kana kwamba hamna akili ya kuona vitu vya kawaida.
Ukipata nags ya kuiwakilisha cam kwenye nafasi ya ubunge na udiwani una 100% kupata hiyo nafasi.
Hiyo ndio sababu kuu ya ccm kuwa na wagombea wengi kwenye nafasi za uwakilishi.
Hamna sababu nyingine
Tumejiamulia wabunge wawe Mandondocha..alafu watunge sheriaKwanini iwe hivyo Sasa?
Mfumo mbovu Wa uchaguzi ambapo hata kilaza anajua anaweza kuwa MbungeTangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
NJAA.....AJIRA...Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
kwanini wewe mwenye akili timamu usiwanie ubunge ukatunge sheria za vijana walale na kupewa mishahara tu, serikali ivue samaki na kuwapa watu wale, serikali ichimbe madini ipate fedha, serikali ilime mahindi na mpunga ili watu wasilie njaa, serikali, serikali, serikali........?Tumejiamulia wabunge wawe Mandondocha..alafu watunge sheria
kama ni hivyo mbona wewe hugombei, huutaki?Mfumo mbovu Wa uchaguzi ambapo hata kilaza anajua anaweza kuwa Mbunge
Kutokana Na mfumo mbovu Wa CCM chini YA tume huru (tume mbovu) imejengwa taswira kuwa hata akili mbovu anaweza kuwa Mbunge Na wengi wanataka ubunge Sio Kwa ajili YA kutumikia wananchi Bali
Kwa ajili YA kushibisha mafumbo uao