Wame ona ubunge na udiwani ni sawa na sanaa nyingine. Ukisha kuwa msanii hata hiyo kazi utaaeza fanyaTangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
SABABU NI POSHO NA BAHASHA MTU AKISHAONJA POSHO NA BAHASHA ANAINGIA TAMAA YA YEYE KWENDA BUNGENI ASWA MACHAWA NDO KITU KILICHOWAVUTATangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
Au ni uongozi wa mama kila mtu angependa kunasibishwa nao? Hebu msikie JPM hapa.SABABU NI POSHO NA BAHASHA MTU AKISHAONJA POSHO NA BAHASHA ANAINGIA TAMAA YA YEYE KWENDA BUNGENI ASWA MACHAWA NDO KITU KILICHOWAVUTA
Uzurumati na kuvifinya vyama vingine mnataka muwe peke yenuTangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025.
Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya kugombea ubunge na udiwani kwenye uchaguzi wa 2025?
Je, ni kuongezeka kwa demokrasia nchini na ndani ya chama sasa kuliko zamani?
Je, ni kuongezeka kwa mafao ya ubunge na udiwani sasa kuliko zamani?
Je, ni uwezekano mkubwa wa mgombea kupita na kuwa mbunge au diwani sasa kuliko zamani?
Au nini?
Serikali na chama chake inataka hao machawa ndio waende kulala na kutamka ndiooo, hawahitaji kupata changamoto. Wanaotaka hizo nafasi hawana uwezo ila wanalingia ukubwa wa chama Chao...kitaweza kuwaibia kura na kutumia polisi kuwalinda....ila wagombea wenyewe ni vilaza sanakwanini wewe mwenye akili timamu usiwanie ubunge ukatunge sheria za vijana walale na kupewa mishahara tu, serikali ivue samaki na kuwapa watu wale, serikali ichimbe madini ipate fedha, serikali ilime mahindi na mpunga ili watu wasilie njaa, serikali, serikali, serikali........?