Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.

Screenshot_20240214-135505.jpg
Screenshot_20240214-140123.jpg
 
Unataka kusema chanzo kilichotoa habari ya sababu ya kifo cha Lowassa kikatudanganya watanzania, halafu kikawaambia ukweli wakenya?!

Mimi ninaona hiyo habari inaweza kusababishwa zaidi na kupata taarifa toka kwa vyanzo viwili tofauti, wakenya wakamuuliza wa kwao, na watanzania tukamuuliza wa kwetu toka familia hiyo hiyo ya marehemu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kila nchi ina counter intelligence katika nchi nyingine, na inawezekana hata hapo Muhimbili wamo ma-informer wa Kenya.

Cc: Hotuba ya Mkuu wa Majeshi
 
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.

View attachment 2903806View attachment 2903807
Watanzania tusiwe tunapenda sana kuona kama kila taarifa ya nje ndiyo sahihi na za kwetu siyo. Mzee wetu ENL ameugua muda mrefu kiasi kwamba yaliongelewa mengi kuhusiana na ugonjwa wake. Nadhani tuache huyu mzee azikwe na Mungu wake ndiyo anayejua. Kwahiyo Kenya wakisema alikuwa na miaka 50 tuamini kwa sababu ni Kenya wamesema. Hebu tuheshimu basi hata familia yake wapo kwenye majonzi.
 
Tusipangiane
 
Back
Top Bottom