covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Sikiliza kenya ni ya kuaminika maana hawa viongozi wanaendaga kupata matibabu huko pia..Unataka kusema chanzo kilichotoa habari ya sababu ya kifo cha Lowassa kikatudanganya watanzania, halafu kikawaambia ukweli wakenya?!
Mimi ninaona hiyo habari inaweza kusababishwa zaidi na kupata taarifa toka kwa vyanzo viwili tofauti, wakenya wakamuuliza wa kwao, na watanzania tukamuuliza wa kwetu toka familia hiyo hiyo ya marehemu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sasa unataka kuniambia mzee utumbo ulijikunja alokuwa hali au..hivi kweli inainyia akili jamani..!