Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

Unataka kusema chanzo kilichotoa habari ya sababu ya kifo cha Lowassa kikatudanganya watanzania, halafu kikawaambia ukweli wakenya?!

Mimi ninaona hiyo habari inaweza kusababishwa zaidi na kupata taarifa toka kwa vyanzo viwili tofauti, wakenya wakamuuliza wa kwao, na watanzania tukamuuliza wa kwetu toka familia hiyo hiyo ya marehemu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sikiliza kenya ni ya kuaminika maana hawa viongozi wanaendaga kupata matibabu huko pia..
Sasa unataka kuniambia mzee utumbo ulijikunja alokuwa hali au..hivi kweli inainyia akili jamani..!
 
Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.

View attachment 2903806View attachment 2903807
Watanzania tumezoea habari za mitaan tu na za uzushi. Hizo za mitaan na uzushi ni nzur na tamu sana. Kwann uje jamii forum ulete uzushi? Nenda Pale Muhimbil kuna cheti cha kifo kimeandikwa sababu ya kifo. Acha habar za kitoto na Kipuuz :
 
Kiweke hapa, unaropoka ropoka tu
 
Naweza kuamini habari ya Kenya maana Bongo kwa kuficha ficha hatujambo japo vingine havina hata sababu ya kuvificha.
kwa hiyo kama alikuwa anaugua kansa au ungonjwa tofauti na kansa inaongeza nini au kumpunguza nini.
mwanandamu ni kiumbe cha ajabu sana
 
Itakuwa tu ni magonjwa mbalimbali, hata hivyo ameteseka sana.

Pole Lowassa, hawakusema tungekuombea
Lowassa hajaanza kuugua leo. Hata wakati anagombea urais 2015 ukimuangalia ulikuwa unaona kabisa hayuko sawa. Kuongea kwake tu ilikuwa siyo kama Lowassa wa zamani. Inawezekana ni magonjwa yameingiliana ila hakuwa mzima wa afya.
 
Na labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pengine ni ndugu na mke hawakutaka. Mara nyingine kuna familia hazitaki umma wote uone mwili wa mpendwa wao, na nafasi wanapewa watu wa karibu tu.
 
Lowassa hajaanza kuugua leo. Hata wakati anagombea urais 2015 ukimuangalia ulikuwa unaona kabisa hayuko sawa. Kuongea kwake tu ilikuwa siyo kama Lowassa wa zamani. Inawezekana ni magonjwa yameingiliana ila hakuwa mzima wa afya.
Alifanyiwa majaribio zaidi ya kumi ya kuwekewa sumu, na moja wapo ilikuwa katika maikrofoni ambayo alikiwa aitumie Mbeya wakati anajiandaa kuhutubia, watu wake wa karibu wakamtonya, lile kundi la wabaya wake likawa linamshinikiza ahutubie hivyohivyo, watu wake muhimu wakamuondoa eneo lile kwa nguvu.

Baada tu ya kuachia uwaziri mkuu akapigwa tukio, akaenda kutibiwa ujerumani
 
Back
Top Bottom