johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kawaida SanaNa labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kama hawafungui linakuwaga tupu labda kama ni Siku ya maziko