johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kawaida SanaNa labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unamuuliza nani sasa!Kwani saratani ni gonjwa la kuficha?
Chiembe bila hata kukuona, nakuona kama ww kuna kitu unakosa. Unaruka na vitu vya hovyo hovyo.Kiweke hapa, unaropoka ropoka tu
Nina jaribu kukuelimisha mdogo wangu. Kuna elimu fulan umekosa. Juzi uliruka na upuuz mwingine kuwa Diaspora wa Kenya wanatuma pesa nyingi kwao. Kwa hiyo wana elimu kuliko watanzania. Something which isn't true at all. From that thread which you sent almost two days ago, I noticed that your missing something.Huna akili
Pita kuleNina jaribu kukuelimisha mdogo wangu. Kuna elimu fulan umekosa. Juzi uliruka na upuuz mwingine kuwa Diaspora wa Kenya wanatuma pesa nyingi kwao. Kwa hiyo wana elimu kuliko watanzania. Something which isn't true at all. From that thread which you sent almost two days ago, I noticed that your missing something.
Dogo ulipotea hapa kati umeubuka tena.Hata chanzo cha utajiri wa Lowasa hatuambiwi.
Kwahiyo wanachoandika muhimbili lazima kiwe kweli? Hao si ndio waliweka kibanda Cha kujifukiza kipindi Cha COVID 19?Watanzania tumezoea habari za mitaan tu na za uzushi. Hizo za mitaan na uzushi ni nzur na tamu sana. Kwann uje jamii forum ulete uzushi? Nenda Pale Muhimbil kuna cheti cha kifo kimeandikwa sababu ya kifo. Acha habar za kitoto na Kipuuz :
Hatuambiwi huo ubilionea aliupataje. Aliye na ile ripoti ya Mwakyembe naomba aiweke hapa tuisome na kumuelewa vizuriHata chanzo cha utajiri wa Lowasa hatuambiwi.
Hatuambiwi huo ubilionea aliupataje. Aliye na ile ripoti ya Mwakyembe naomba aiweke hapa tuisome na kumuelewa vizuri
Ziko taarifa ambazo ziliwekwa wazi siku nyingi tuu hapa kwamba kulikuwa na dili la kampuni ya Toyota kuuzia magari na vipuli serikali na wabunge wote kukopeshwa. Kama kawaida kampuni kubwa dili kama hizo zina mfumo wa kutoa shukrani ya 10 percent kwa kinara wa dili hilo. Sasa mzee wa bleech alikuwa kinara wa nchi ndani ya ofisi ya Chigwemisye, Chigwe akazubaa kidogo mtoto wa mjini akapita na mshiko wote na sio haba maana dili lile lilikuwa kubwa sana na la miaka kadhaa.Hatuambiwi huo ubilionea aliupataje. Aliye na ile ripoti ya Mwakyembe naomba aiweke hapa tuisome na kumuelewa vizuri
Maccm yanalishana sumuChanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
View attachment 2903806View attachment 2903807
KWANI UKIKIJUA KILICHOSABABISHA UTAMFUFUA?Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
View attachment 2903806View attachment 2903807