Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.

Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
 
Mimi nikazani ilo jambo linanitokea peke angu .kwanza Mimi umri wangu upo kwenye range ya 25 kwenda juu lakini unakuta nashobokewa hadi na watoto sekondari yani sielewi binafsi naviona vidogo lakini wenyewe ndo shobo zimezidi yani mpaka unaona kabisa naelekea kugombana na wazazi wao maana nahisi wananihisi vibaya
 
Kula ushibe nenda nawa endelea na safari
 
Watu wazima wana raha yake,hela anakupa bado utabembelezwa kama mtoto,wepesi kuomba radhi, yani ni full package sema tuu mvi nyingi....vijana hela hamtoi na bado fix kibaaaaoo ukinikuta na hela zangu bado unataka unipangie matumizi..chaaa!!!
 
Fix kibao bado akuandikie meseji ya "xaxa my wangu xi kama tulivoongea, i love u xo much"

Maneeenah sana!!!
 
Back
Top Bottom