Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

Watu wazima wana raha yake,hela anakupa bado utabembelezwa kama mtoto,wepesi kuomba radhi, yani ni full package sema tuu mvi nyingi....vijana hela hamtoi na bado fix kibaaaaoo ukinikuta na hela zangu bado unataka unipangie matumizi..chaaa

Kuweni wanaume halisi, sio maneno maneno
Mim ni mtu mzima mama sina utoto ujue
 
Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.

Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
Watu wengine wanapewa Udokta wa hrshima kwa mambo ya kawaida kabisa, lakini wewe uliyetafiti jambo linalogusa jamii nzima hakuna anayekukumbuka.
 
ufanye na utafiti kwa wale single mothers wenye kazi zao tafadhali mkuu naamini kuna kitu kipya utakuja nacho kama mrejesho kwetu
 
Hao ni wale mabinti wenye roho za kambi ya fisi na mitaa ya shivazi, kwa hiyo kinachofanyika kwa sasa kwa machangudoa ni kubadili tu mbinu ya kazi zao ili wasijekujikuta wanaingia katika matatizo ya kupandishwa defender.
 
Shekeli

Back
Top Bottom