Natena wiza
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 428
- 676
Mbona hata vijana, wanatembea na wanawake wenye umri ulio sawa na mama zao?Halafu wanajiamini tena hata aibu hawana,sijui kizazi hiki kitakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata vijana, wanatembea na wanawake wenye umri ulio sawa na mama zao?Halafu wanajiamini tena hata aibu hawana,sijui kizazi hiki kitakuwaje
Swali lako haliendani na mada inayojadiliwa mkuuMbona hata vijana, wanatembea na wanawake wenye umri ulio sawa na mama zao?
Kunywa tu hivyohivyo mkuu,maana chai yenyewe imebakia kidogoChai
Kunywa tu hivyohivyo mkuu,maana chai yenyewe imebakia kidogoChai
Sema tu unafata elaNdo mpango mzimaaa..vijana washenzi tu
Na hao mabinti ndo wanaongoza kuua hivyo vizee na vyenyewe vinapaka mundendeNdio maana heshima imeshuka,binti haheshimu watu wakubwa coz ameshatembea nao na ana amini anaweza tembea na mtu mkubwa yeyote yule,
Pia hizi porno movie zinawadanganya wanaona kua kila kitu kinawezekana,umri sio issue,
Lakini kama ni lawama basi ziwaendee hao watu wazima na sio mabinti wadogo.
Hatuvisemei ivo vidunchurii,tunasemea vitoto umri wako kupenda watu wazima.Ila kweli humu tumeingiza na chekechea..ko wewe umejiona MTU mzima tayari?Mimi nikazani ilo jambo linanitokea peke angu .kwanza Mimi umri wangu upo kwenye range ya 25 kwenda juu lakini unakuta nashobokewa hadi na watoto sekondari yani sielewi binafsi naviona vidogo lakini wenyewe ndo shobo zimezidi yani mpaka unaona kabisa naelekea kugombana na wazazi wao maana nahisi wananihisi vibaya
Kwa hiyo above 25 bado mimi mdogo?.kwanza title imesema MABINTI WADOGO sijui umeelewa afu mimi sijashangazwa na ke wa umri wangu kwa hao wa umri ni wakubwa sana above 25 si binti tena kwa hiyo hata wakipenda vizee ruksa .mimi nashangazwa vitoto vya sekondari kuwa na tabia hizo ,sijui umenielewaHatuvisemei ivo vidunchurii,tunasemea vitoto umri wako kupenda watu wazima.Ila kweli humu tumeingiza na chekechea..ko wewe umejiona MTU mzima tayari?
Hatuvisemei ivo vidunchurii,tunasemea vitoto umri wako kupenda watu wazima.Ila kweli humu tumeingiza na chekechea..ko wewe umejiona MTU mzima tayari?
Acha tuwatafune Watoto bado wabichi hao.Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla.
Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
Sasa hivi una umri gani?.Mabinti wadogo wanahitaji mwanaume mature.nakumbuka nilivyokuwa na mambo ya kitoto nilikua sipati demu.lakini sasa nina mademu wengu sana haswa wadogo!
Mvulie uonee kama ulivyokula ilikkua n trela tuu hmn loloteVijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo akija nguo zote analipia, yani akija home anabeba mchele nyama unga yani kasoro mkaa alafu akianza kuondoka anaacha hamsini sitini mezani, hivi ni kwa sababu ana hela sana au ni moyo wake tu mana ni mtu mzito kidogo pale wizara ya mpunga
Mi nafikiri siyo kwamba anahela sana ila anajuwa mahitaji ya mwanamke
Imagine ananitongoza toka mwaka jana ila nimemkataa coz ana familia na bado anafanya haya yote, siku nikimvulia nguo si itakuwa zaidi
By the way namshukuru sana huyu kakangu laiti angekuwa hana mke huyu ningemuogesha na kumbeba na kumuheshimu sana mana ANAONDOA STRESS ANATIBU B. P NA MAGONJWA MENGINE YA SONONO
Usikariri mkuu,kila jambo lina njia tofauti tofauti ya kulidhibiti,na namna gani limekuja.Wamekuona mtoto ndo maana wanakuchekea ila ki uhalisia we kama mtu mzima ulipaswa kuihandle hiyo situation kwa kunyamaza tu hako kabinti kangejua umemind na kangekoma mara moja. Ila kitendo cha kwenda kwao umefyumu umedhihirisha haina emotional maturity
Hahahahah huyo jamaa yako atakuwa Ndezi wa Standard GaugeFix kibao bado akuandikie meseji ya "xaxa my wangu xi kama tulivoongea, i love u xo much"
Maneeenah sana!!!