Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

Nini kimesababisha Tajiri wa Simba Dewji awepo Dubai katika Mkutano Mkuu wa Uwekezaji, ila Gharib wa Yanga hata kwa Tochi tu hajaonekana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naona Tajiri Kijana Afrika anang'aa tu Kimataifa kama Klabu yake huko Shirikisho huku Tajiri Uchwara mwingine Yeye akibung'aa bung'aa zake tu Posta, Kigamboni, Turiani na sasa yuko zake Mkolani Buhongwa Mkoani Mwanza akiitafuta Geita.

Yaani Wewe Pesa zako za Magumashi ( Janja Janja ) mpaka Uuze Maforonya na Magodoro yenye Kunguni na yanayoumiza Watu Uti wa Mgongo unataka Kushindana na mwenye Pesa na Utajiri wa Asili na ambaye Mataifa makubwa pamoja na Matajiri wote Ulimwenguni wanamtambua na Kumjua?

Na hata Tajiri alipokuwepo huko Dubai Mkutanoni aliwekwa Siti ya mbele kabisa ila nina Tajiri mwingine ( hasa yule wa Janja Janja ) Yeye angeenda ( angehudhuria ) angetakiwa Kukaa nyuma alikokaa Shaka wa CCM na huenda hata Siti asingepewa na angetakiwa achague tu kati ya Kukaa Sakafuni au Kusimama hadi Miguu yake iingie Tumboni mwake kwa Kuchoka.

Utajiri wa Tajiri Janja Janja ni wa Dar!!!
 
Wewe koma kumtaja mtu mwenye msiba mzito wa kufiwa na mzazi
 
Hata matanga hayajaisha mmeanza masengenyo.mwacheni kwanza aomboleze
 
Halafu katika waudhuriaji wa msiba wa mzee GSM nimeshangaa kwenye picha alizo post milard ayo nimemuona na makonda


Huyu si most wanted au ishu yake imeishaje ishaje?
 
Back
Top Bottom