Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Hao wooote siyo watendaji. Ni ''wasanii'' vilaza waliobebwa na ujinga na ulimbukeni wa watanzania. Kimsingi mtu yeyote anayeweza ''usanii'' kwenye maisha ana nafasi ya kuwa maarufu Tanzania hata awe mjinga kiasi gani.
Waliponzwa na sifa fake.
 
Namsikitikia Makonda, kapotea ghafla....
 
Tumuache Raisi aendeshe serekali yake atakavyo. Ushauri ni kuwa " USITUPE MBACHAO KWA MSALA UPITAO"
 
CCM inaficha mtaji wake msije mkauchafua na kashfa uchwara!
 
Magufuli milele tena
 
Majibu....

Kuna Mmoja hapo tabia yake ya Kupenda kuwa King'asti ( Pimp ) kwa Viongozi wakubwa Kumemponza ( Mwezi huu )
Kuna Mmoja hapo tabia yake ya Unafiki na Kujiamini kupita Kiasi Kumemgharimu ( Napenda JF )
Kuna Mmoja hapo tabia yake ya Kupenda Kutongoza hovyo Wanawake ( tena Mahawara ) wa Wakubwa Kumemponza ( Piga Ngwala )
Kuna Mmoja hapo dossier yake kutoka Usalama imeonyesha ni Hatari kwa Msukuma mwenzie hivyo ametoswa huku akifuatiliwa ( Kondakta )
Kuna Mmoja hapo Kukomaa Kwake Kiushirikina na kupenda Kujipendekeza kwa Wakubwa na akiwa Muongo Kumemgharimu ( La Mgambo likilia )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…