Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

Shamba linatushinda tupo busy na vijana JKT kuwapa kazi za kufyatua matofali...
 
Nasikia kuna jitihada za kutaka kulifufua
 
Hongera Sana kwa uchambuzi wako mzuri. Yaelejea maraha yalizidi na kazi ikawekwa pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…