PETER THE ROCK
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 528
- 807
Hasaa! Kukuunga mkono, soma historia ya Dunia kuhusu mojawapo ya vianzilishi vya Vita Kuu ya Pili; utakuta Rais wa Marekani alipoongoza Mkutano wa Amani wa Versailles kuzungumzia masharti ya kuiwekea Ujerumani alikwenda na Prof. 3 wa kumshauri. Yale masharti waliyoiwekea Ujerumani yalikuwa hayana uhalisia kiasi kwamba mara baada ya masharti hayo kuwekwa saini na pande zote, Ujerumani ilianza kujiandaa Vita ya Pili kwa sababu masharti iliyowekewa yalikuwa "excessive" hayatekelezeki. Tangu wakati huo Dunia ilipata funzo la kudumu kuwa shule peke yake haitoshi. Kwa hiyo wenzetu wanaotazama vyeti vya darasani zaidi wanakosa uelewa fulani wa Dunia inavyoendeshwa! Tanzania ni sehemu ya Dunia!Huu mchango wako ndugu Heijah , unafaa utengenezewe fremu kisha uwekwe kwenye meza ya mwenye mamlaka ya uteuzi.
Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app