Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?

Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
 
Wewe uliishawahi kukomalia Mkataba ukapata shilingi ngapi badala ya shilingi ngapi?
 
Wengine ni vibarua mwaka wa 5 huu mshahara laki 4 hatujawahi kuongezewa hata mia ila hili la Simba linatuumiza zaidi. Uongozi wazembe mno.
Ahahahahaha! Mwamba hii komenti yako ni komenti yangu bora ya mwezi Julai, 2025 kwenye mambo ya Soka! Ahahahahaha!!
 
Mo aje kuzungumzia na hii mikataba sio kila siku akiamka yeye ni kuwadai tu watani kwenye mikataba ya pesa yupo kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…