Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?

Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
Unafki na uwongo ndiyo unawasumbua.
 
HIZO NI FIGURE TU MKUU.
TENA NI ZA UONGO.

KUNA TIMU YA KARIAKOO ILIINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KUBASHIRI HAIKIPOKEA HATA ZERO 0.

SIMBA NA YANGA WANATAMBIANA UDHAMINI WA BURE.
WANA UTOTO MWINGI SANA
 
Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?

Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
Kama wadhamini waliojitokeza wametoa 20B unakomaa Vipi?
 
Mkataba wa simba na m_bet ulikua wa miaka 5, lakini ndani ya miaka mitatu tu umeisha! ahaa nimekumbuka kumbe walikua wanahesabu usiku na mchana kama jela
Vyura bhana!! Cjui Kwa nini mungu aliqanyima akili
 
Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26?

Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
Muulize Gwaji boy
 
Back
Top Bottom