matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mitandao imeunga Mkono juhudi hawana pa kusemea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwendawazimu ni kurudia jambo lilelile ukitegemea matokeo tofauti ....Ni ujinga kumuunga mkono kibaraka
Bora wewe umeanza mapema kukiri ukweli na kujiandaa kisakolojia. Waambie na wenzako wanaoota ndoto za mchana na kufikiri CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi huu. Waambie majii ya JPM ni mazito.Pumbavu vyama sio ushabiki kama mpira.....najua hatutashinda ila kura yangu nataka imdhihirishie kuwa hakubaliki kama anavozania
Nani kakwambia hakuna thread za Chadema na wana chadema tumepoa!! Maxense melo katishwa na tcra jana kila post ya chadema leo anaifuta ila post za kijinga za Ccm ndo zinaachwa tuKadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, tweater na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa kukata tamaa.
Baadhi wameanza hoja za kujifariji na wengine wameanza kutaka kufanyike kikao cha pamoja cha maridhiano kati ya JPM na Lissu kabla ya matokeo kutangazwa. Mwelekeo wa hoja hizi ni angalau Lissu afikiriwe kupewa cheo. Ndugu zangu tukubali tu ukweli kwamba maji ya JPM ni marefu. Baadhi ya wapiga debe wa CHADEMA mmejitahidi kumnadi mgombea wenu kadri mlivyoweza lakini bahati mbaya mlikosea tangu mwanzo. Hamkuchagua mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Mgombea wenu hauziki. Mnajua wenyewe nini watanzania wamesema juu yake na ni kwa nini hakukubalika. Ndiyo siasa ilivyo. Mmejifunza kupitia makosa. Tukutane tena 2025 Mungu akitujalia uzima. Wengi wenu najua tukijaliwa uzima miaka mitano ijayo mtazamo wenu utakuwa umebadilika kabisa na mmekuwa wana CCM ndaki ndaki.
Mtabadilika baada ya kushuhudia makubwa atakayofanya Rais Magufuli kwa Tanzania kwa miaka mitano ijayo. Tuombe uzima. Ushauri wangu, fanyeni uamuzi mgumu, chagueni Dkt Magufuli tarehe 28 Oktoba japo mioyo yenu bado itakuwa migumu, jitahidini tu mmpe kura zenu. Kumpa kura Dkt Magufuli kutawasaidia sana kisaikolojia ndiyo maana wanasema, If you cannot beat them, join them.
Wewe ni Surveyor wa mitandao yote?Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, tweater na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa kukata tamaa.
Baadhi wameanza hoja za kujifariji na wengine wameanza kutaka kufanyike kikao cha pamoja cha maridhiano kati ya JPM na Lissu kabla ya matokeo kutangazwa. Mwelekeo wa hoja hizi ni angalau Lissu afikiriwe kupewa cheo. Ndugu zangu tukubali tu ukweli kwamba maji ya JPM ni marefu. Baadhi ya wapiga debe wa CHADEMA mmejitahidi kumnadi mgombea wenu kadri mlivyoweza lakini bahati mbaya mlikosea tangu mwanzo. Hamkuchagua mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Mgombea wenu hauziki. Mnajua wenyewe nini watanzania wamesema juu yake na ni kwa nini hakukubalika. Ndiyo siasa ilivyo. Mmejifunza kupitia makosa. Tukutane tena 2025 Mungu akitujalia uzima. Wengi wenu najua tukijaliwa uzima miaka mitano ijayo mtazamo wenu utakuwa umebadilika kabisa na mmekuwa wana CCM ndaki ndaki.
Mtabadilika baada ya kushuhudia makubwa atakayofanya Rais Magufuli kwa Tanzania kwa miaka mitano ijayo. Tuombe uzima. Ushauri wangu, fanyeni uamuzi mgumu, chagueni Dkt Magufuli tarehe 28 Oktoba japo mioyo yenu bado itakuwa migumu, jitahidini tu mmpe kura zenu. Kumpa kura Dkt Magufuli kutawasaidia sana kisaikolojia ndiyo maana wanasema, If you cannot beat them, join them.
Za kuambiwa ongeza na zako. Umesikia wamachinga wanavyo mshukuru JPM alivyowakomboa?Jana shekhe kapigilia msumari wa mwisho kwenye jahazi lao.
KAKAA BUNGENI SIKU ZOTE LEO NDO AWAKUMBUKE MASHEKHE.
YEYE MWANASHERIA ANAYETETEA MPAKA MAFISADI,LINI AMEWAKUMBUKA HAO MASHEKHE!
ANAAMINI CORONA IPO WAKATI YEYE HAVAI WALA KUFATA TARATIBU ZA KUKABILIANA NAYO
KUTUDANGANYA WAMACHINGA KUA KULIPA 20000 TUNAIBIWA WAKATI UKWELI TUNAJUA WENYEWE UNAFUU UKO WAPI.
Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, tweater na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa kukata tamaa.
Baadhi wameanza hoja za kujifariji na wengine wameanza kutaka kufanyike kikao cha pamoja cha maridhiano kati ya JPM na Lissu kabla ya matokeo kutangazwa. Mwelekeo wa hoja hizi ni angalau Lissu afikiriwe kupewa cheo. Ndugu zangu tukubali tu ukweli kwamba maji ya JPM ni marefu. Baadhi ya wapiga debe wa CHADEMA mmejitahidi kumnadi mgombea wenu kadri mlivyoweza lakini bahati mbaya mlikosea tangu mwanzo. Hamkuchagua mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Mgombea wenu hauziki. Mnajua wenyewe nini watanzania wamesema juu yake na ni kwa nini hakukubalika. Ndiyo siasa ilivyo. Mmejifunza kupitia makosa. Tukutane tena 2025 Mungu akitujalia uzima. Wengi wenu najua tukijaliwa uzima miaka mitano ijayo mtazamo wenu utakuwa umebadilika kabisa na mmekuwa wana CCM ndaki ndaki.
Mtabadilika baada ya kushuhudia makubwa atakayofanya Rais Magufuli kwa Tanzania kwa miaka mitano ijayo. Tuombe uzima. Ushauri wangu, fanyeni uamuzi mgumu, chagueni Dkt Magufuli tarehe 28 Oktoba japo mioyo yenu bado itakuwa migumu, jitahidini tu mmpe kura zenu. Kumpa kura Dkt Magufuli kutawasaidia sana kisaikolojia ndiyo maana wanasema, If you cannot beat them, join them.
Picture na videos hazifunguki, nimejaribu mara kadhaa lakini hola.Mapema sana, ila twita kama ipo down?
Idadi kubwa ya watanzania ni wakulima wanaomiliki jembe la mkono vijijijni, hao ndo wapiga kura. Iweje wewe unazungumzia mitandaoni? Unaamini mitandao itakupa kura za ushindi?Nguvu ya chadema mitandaoni ni Mara kumi zaidi kuliko Ccm, kama huoni labda akili yako ndo imechoka
Pathetic fool
#Zanzibarlivesmatter