Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
ugoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajiandaa kwa maumivu ya kwenye kura na ya kichapo kama utajaribu kuleta chokochoko. Umeambiwa uage kabisa na kuandika wosia.Eti tumepoa, choko ww unajua tunaandaa na tunajiandaa kwa lipi? You just chill.
Wao wameaga? Kama hawajaaga basi waage na waache wosia.Mnajiandaa kwa maumivu ya kwenye kura na ya kichapo kama utajaribu kuleta chokochoko. Umeambiwa uage kabisa na kuandika wosia.
Huyo sheikh wako atawadanganya nyie wajinga wenzake wa Lumumba. Kipindi Bunge lipo live, tuliona ni kwa jinsi gani aliwatetea masheikh wa Uamsho wakati akichangia mijadala bungeni katika bajeti za wizara ya sheria na katiba. Hivyo mwambie hawezi kutudanganyaJana shekhe kapigilia msumari wa mwisho kwenye jahazi lao.
KAKAA BUNGENI SIKU ZOTE LEO NDO AWAKUMBUKE MASHEKHE.
YEYE MWANASHERIA ANAYETETEA MPAKA MAFISADI,LINI AMEWAKUMBUKA HAO MASHEKHE!
ANAAMINI CORONA IPO WAKATI YEYE HAVAI WALA KUFATA TARATIBU ZA KUKABILIANA NAYO
KUTUDANGANYA WAMACHINGA KUA KULIPA 20000 TUNAIBIWA WAKATI UKWELI TUNAJUA WENYEWE UNAFUU UKO WAPI.
Wanajitapa humu wakati wanaiba na kuharibu uchaguzi nchi nzima. Sasa Zanzibar huko wanaua watu alafu wanakuja kujitapa humu. Wajiandae tu kumsindikiza magufuli akienda ICCugoro
Kadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, twitter na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa kukata tamaa.
Baadhi wameanza hoja za kujifariji na wengine wameanza kutaka kufanyike kikao cha pamoja cha maridhiano kati ya JPM na Lissu kabla ya matokeo kutangazwa. Mwelekeo wa hoja hizi ni angalau Lissu afikiriwe kupewa cheo. Ndugu zangu tukubali tu ukweli kwamba maji ya JPM ni marefu. Baadhi ya wapiga debe wa CHADEMA mmejitahidi kumnadi mgombea wenu kadri mlivyoweza lakini bahati mbaya mlikosea tangu mwanzo. Hamkuchagua mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Mgombea wenu hauziki. Mnajua wenyewe nini watanzania wamesema juu yake na ni kwa nini hakukubalika. Ndiyo siasa ilivyo. Mmejifunza kupitia makosa. Tukutane tena 2025 Mungu akitujalia uzima. Wengi wenu najua tukijaliwa uzima miaka mitano ijayo mtazamo wenu utakuwa umebadilika kabisa na mmekuwa wana CCM ndaki ndaki.
Mtabadilika baada ya kushuhudia makubwa atakayofanya Rais Magufuli kwa Tanzania kwa miaka mitano ijayo. Tuombe uzima. Ushauri wangu, fanyeni uamuzi mgumu, chagueni Dkt Magufuli tarehe 28 Oktoba japo mioyo yenu bado itakuwa migumu, jitahidini tu mmpe kura zenu. Kumpa kura Dkt Magufuli kutawasaidia sana kisaikolojia ndiyo maana wanasema, If you cannot beat them, join them.
Ngoja wamalizie kudowload vpn watakujaKadri tunavyokaribia uchaguzi idadi ya wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni inazidi kupungua siyo tu hapa JF bali hata huko facebook, twitter na sehemu zinginezo. Inaonekana wamepima upepo na kuona maji ya Dkt Magufuli ni masafa marefu. Wachache wanaojitutumua wanachangia kwa unyonge sana na kwa kukata tamaa.
Baadhi wameanza hoja za kujifariji na wengine wameanza kutaka kufanyike kikao cha pamoja cha maridhiano kati ya JPM na Lissu kabla ya matokeo kutangazwa. Mwelekeo wa hoja hizi ni angalau Lissu afikiriwe kupewa cheo. Ndugu zangu tukubali tu ukweli kwamba maji ya JPM ni marefu. Baadhi ya wapiga debe wa CHADEMA mmejitahidi kumnadi mgombea wenu kadri mlivyoweza lakini bahati mbaya mlikosea tangu mwanzo. Hamkuchagua mtu sahihi kwa wakati sahihi.
Mgombea wenu hauziki. Mnajua wenyewe nini watanzania wamesema juu yake na ni kwa nini hakukubalika. Ndiyo siasa ilivyo. Mmejifunza kupitia makosa. Tukutane tena 2025 Mungu akitujalia uzima. Wengi wenu najua tukijaliwa uzima miaka mitano ijayo mtazamo wenu utakuwa umebadilika kabisa na mmekuwa wana CCM ndaki ndaki.
Mtabadilika baada ya kushuhudia makubwa atakayofanya Rais Magufuli kwa Tanzania kwa miaka mitano ijayo. Tuombe uzima. Ushauri wangu, fanyeni uamuzi mgumu, chagueni Dkt Magufuli tarehe 28 Oktoba japo mioyo yenu bado itakuwa migumu, jitahidini tu mmpe kura zenu. Kumpa kura Dkt Magufuli kutawasaidia sana kisaikolojia ndiyo maana wanasema, If you cannot beat them, join them.
Ndugu yangu, tii sheria bila shuruti. Usikubali kutumiwa kabisa kama daraja la wanasiasa wa upinzani. La Zanzibar liwe fundisho kwetu.Wanajitapa humu wakati wanaiba na kuharibu uchaguzi nchi nzima. Sasa Zanzibar huko wanaua watu alafu wanakuja kujitapa humu. Wajiandae tu kumsindikiza magufuli akienda ICC
Natetea haki yangu. Situmiwi na yeyoteNdugu yangu, tii sheria bila shuruti. Usikubali kutumiwa kabisa kama daraja la wanasiasa wa upinzani. La Zanzibar liwe fundisho kwetu.