Uchaguzi 2020 Nini kimewapata wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni, Wamepoa ghafla , au ni baada ya kupima upepo?

Pumbavu vyama sio ushabiki kama mpira.....najua hatutashinda ila kura yangu nataka imdhihirishie kuwa hakubaliki kama anavozania
Bora wewe umeanza mapema kukiri ukweli na kujiandaa kisakolojia. Waambie na wenzako wanaoota ndoto za mchana na kufikiri CHADEMA inaweza kushinda uchaguzi huu. Waambie majii ya JPM ni mazito.
 
Angalia maisha yako acha kujipendekeza kwa Magufuli au unadhani atakununulia boksa na soksi
 
Nani kakwambia hakuna thread za Chadema na wana chadema tumepoa!! Maxense melo katishwa na tcra jana kila post ya chadema leo anaifuta ila post za kijinga za Ccm ndo zinaachwa tu
 
Wewe ni Surveyor wa mitandao yote?
 
Jana shekhe kapigilia msumari wa mwisho kwenye jahazi lao.

KAKAA BUNGENI SIKU ZOTE LEO NDO AWAKUMBUKE MASHEKHE.

YEYE MWANASHERIA ANAYETETEA MPAKA MAFISADI,LINI AMEWAKUMBUKA HAO MASHEKHE!

ANAAMINI CORONA IPO WAKATI YEYE HAVAI WALA KUFATA TARATIBU ZA KUKABILIANA NAYO

KUTUDANGANYA WAMACHINGA KUA KULIPA 20000 TUNAIBIWA WAKATI UKWELI TUNAJUA WENYEWE UNAFUU UKO WAPI.
 
Za kuambiwa ongeza na zako. Umesikia wamachinga wanavyo mshukuru JPM alivyowakomboa?
 
Chama mpechempeche, ndembendembe mwisho wake umefika. Mwisho wa ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge, mwisho wa kula pesa za mifuko ya majimbo.Watanzania sote kwa umoja wetu twendeni tukapige kura za kijani tupu kwa JPM. Mzalendo namba 1.
 
Miccm bana imechanganyikiwa,ivi bado mnapiga debe na kampeni ,mnafikiri mtashinda,yaani watu wameshaondoka na Lisu nnyinyi mmeduwaa na madalaja na reli ,ukisikia kuachwa kwenye mataa ndio hapo.
subirini apo apo CDM watarudi kupiga debe.
 
Huwezi kuwaona tweater ila wapo twitter wamejaa
 
 
Nguvu ya chadema mitandaoni ni Mara kumi zaidi kuliko Ccm, kama huoni labda akili yako ndo imechoka
Idadi kubwa ya watanzania ni wakulima wanaomiliki jembe la mkono vijijijni, hao ndo wapiga kura. Iweje wewe unazungumzia mitandaoni? Unaamini mitandao itakupa kura za ushindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…