Uchaguzi 2020 Nini kimewapata wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni, Wamepoa ghafla , au ni baada ya kupima upepo?

Eti tumepoa, choko ww unajua tunaandaa na tunajiandaa kwa lipi? You just chill.
 
Eti tumepoa, choko ww unajua tunaandaa na tunajiandaa kwa lipi? You just chill.
Mnajiandaa kwa maumivu ya kwenye kura na ya kichapo kama utajaribu kuleta chokochoko. Umeambiwa uage kabisa na kuandika wosia.
 
Katika dhambi kubwa nitafanya hapa duniani ni kuipigia CCM kura.
Mungu anilaani kama nitajaribu hata kuwazia hilo.
 
Mnajiandaa kwa maumivu ya kwenye kura na ya kichapo kama utajaribu kuleta chokochoko. Umeambiwa uage kabisa na kuandika wosia.
Wao wameaga? Kama hawajaaga basi waage na waache wosia.
 
Kesho 'chupa la CCM litaamka na chai'.. CCM itashinda uchaguzi asubuhi na mapema tu...
 
Huyo sheikh wako atawadanganya nyie wajinga wenzake wa Lumumba. Kipindi Bunge lipo live, tuliona ni kwa jinsi gani aliwatetea masheikh wa Uamsho wakati akichangia mijadala bungeni katika bajeti za wizara ya sheria na katiba. Hivyo mwambie hawezi kutudanganya
 
Nyie mna jeshi lenye vifaru, bunduki, ndege za kivita, NEC, Msajili... CHADEMA na ACT wana Watanzania wenye damu na nyama tu.
 
Ila ccm mnadhambi hiko mnachotaka kukifanya Mungu atawaadhibu
 
Ngoja wamalizie kudowload vpn watakuja
 
Wanajitapa humu wakati wanaiba na kuharibu uchaguzi nchi nzima. Sasa Zanzibar huko wanaua watu alafu wanakuja kujitapa humu. Wajiandae tu kumsindikiza magufuli akienda ICC
Ndugu yangu, tii sheria bila shuruti. Usikubali kutumiwa kabisa kama daraja la wanasiasa wa upinzani. La Zanzibar liwe fundisho kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…