Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Mpoto niliona kavaa viatu itakuwa kipaji kimeisha baada ya kushindwa maelekezoHahahahha Lkini hata wakina Mpoto?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpoto niliona kavaa viatu itakuwa kipaji kimeisha baada ya kushindwa maelekezoHahahahha Lkini hata wakina Mpoto?
Kuna ubaya?Hivi ule wimbo wa TOT mbona kwa mbali ile sauti kama yaKomba?
Watu wanaangalia wateja wanataka nn ili waweze kulipa bills ndugu. Msanii Hana mshahara Wala Pensheni Kama nyie huko Halmashauri ya mkuranga. Akifurahisha genge bila pesa mtaanza kumchekaWamezoea kuimba matusi, mara mtslo, kambale, sijui inabana etc
Hawawezi kuimba nyimbo zenye kugusa hisia hususan kipindi hiki cha majonzi
Peter Msechu kajitahidi sanaa, wimbo wake mzuri
Paka mate niteleze kama nyoka pangonii.
Ni kweli kabisa elimu ya darasani ina nafasi kubwa kwenye sanaa, lakini tatizo la wasanii wengi wa muziki na maigizo hapa Tanzania sio elimu pekee.Na vilaza pia std seven walikuwa watoro darasani
Wanakua nyimbo za vitandani tu