Nini kimewapata wasanii wetu? Hakuna wimbo mzuri kabisa kipindi hiki cha msiba. Wamezidiwa na TOT? Hakika Komba atakumbukwa

Nini kimewapata wasanii wetu? Hakuna wimbo mzuri kabisa kipindi hiki cha msiba. Wamezidiwa na TOT? Hakika Komba atakumbukwa

Wamezoea kuimba matusi, mara mtslo, kambale, sijui inabana etc
Hawawezi kuimba nyimbo zenye kugusa hisia hususan kipindi hiki cha majonzi
Watu wanaangalia wateja wanataka nn ili waweze kulipa bills ndugu. Msanii Hana mshahara Wala Pensheni Kama nyie huko Halmashauri ya mkuranga. Akifurahisha genge bila pesa mtaanza kumcheka
 


Sio rahisi
kama ilivyo kule oooh nioneshe alichokupa mama.Nizibue mtaro.Hizi ni akili kubwa sana.
 
"Msanii pekee mwenye nyimbo nne za ccm""alisikika rayvany akijisifika ikulu chamwino ,full ushamba na ulimbukeni

California love
 
Na vilaza pia std seven walikuwa watoro darasani

Wanakua nyimbo za vitandani tu
Ni kweli kabisa elimu ya darasani ina nafasi kubwa kwenye sanaa, lakini tatizo la wasanii wengi wa muziki na maigizo hapa Tanzania sio elimu pekee.

Tatizo kubwa ni uvivu na kubweteka.

Wasanii wengi hawajishughulishi kujua mambo hata yale muhimu tu ya kawaida. Wao waambie mapenzi tu!

Sio rahisi sana kupata maneno ya kumuelezea mtu usiyemfahamu. Wengi hawajui historia ya nchi, ya viongozi na hawataki kujua! Watapata wapi maneno ya kumuelezea?

Angalia wasanii wanaojaribu kutunga nyimbo za kuhamasisha maendeleo ni wangapi?
 
Back
Top Bottom