Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?


Nashukuru mkuu MNYOO JOGOO kwa ufafanuzi,nijuavyo mimi huwa inachukua muda kidogo kwa mwili wa mama aliejifungua kurudi katika hali ya kawaida,hakuna muda maalum kwa sababu kila mtu ni unique,kuna wanaowahi na wengine wanaweza kuchelewa kidogo,ninachokushauri ni kwamba mama akimpeleka mtoto clinic wakati wa chanjo ajaribu kuwaeleza wauguzi nao watapima kama ni hali ya kawaida au kama wakiona kuna ulazima watampeleka kwa daktari kwa uchunguzi zaidi.kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:

Kuweka au Kuziba tu Kwa Super Glu Ni Suluhisho Tosha. Mchana Mwema.............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Tafuta dawa inaitwa 'Norethisterone' meza miligram tano mara moja kwa siku kwa muda wa wiki nzima.
 
Habari zenu wanandugu.

Mwanamke wangu ameona siku nyingi za kutokwa na damu kuliko kawaida yake kama awali baada ya siku 3 au 4 imekuwa siku 7.

Je hapo kutakuwa na tatizo lolote au siku ya kuweza kushika mimba itabadilika au itakuwa vilevile.

Kama kuna madokta na wenye kufahamu ili naomba mnijuze japo nimeuliza peke yangu lkn itakuwa kwa faida ya wengi.

Asubuh njema.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Atakua anatumia njia mojawapo ya uzazi wa mpango...ndio huleta hayo mabadiliko
 

Ngoja Tuwangojee Madaktari Wa Hospitali Iliyo Katikati Ya Makonde Na Africana Watuambie Zaidi Kwani Wao Wana Uzoefu wa Masuala Mbalimbali Kwa Mfano Lile La Mabwepande!
 
Habari wanandugu
Mwanamke wng ameona siku yng za damu ya hedhi kuliko kawaida yke badala ya siku 3 au 4 imekuwa siku 7.je hapo kutakuwa na tatizo au siku yke ya kuweza kushika mimba inaweza kubadilika.
Naomba mnijuze ndugu zangu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukaage basi na mwanamke wako mjadiliane kwanza ujue km anatumia vizuizi,km hatumii mkamuone daktari wa kina mama.
 
My honey ana - breed toka mwezi wa tano,hakuna sababu yoyote. Tumetembelea hospitali nyingi sana hatujapata jawabu,breeding mara ya kwanza ilikuwa imeambatana na tumbo kuuma lakini tumbo liliacha,lakini breed haijakata hata leo,nisaidie mwenzenu sitaki kumuacha kwani inakuwa sio utu na sitaki kumsaliti,niliapa kumuoa na nitamuoa.Please msaada
 
Huyo mbona inaonyesha katoa mimba uchafu umebaki tumboni aende hospital achome sindano na kusafisha kizazi
 

Natumai unamaanisha 'bleeding/bleed' - kuvuja damu, ina maana tofauti na 'breeding/breed' - kuzaliana...'my hun' wako anaweza yote hayo mawili lakini natumai unamaanisha bleeding. Kuvuja damu ya hedhi hovyo kusikofuata mwezi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi tu, na sababu zaweza kuwa kwenye mfumo wa uzazi au kizazi chenyewe, na pia mfumo wa vochocheo (hormones) mwilini. Kuna maswali mengi ya kuuliza na vipimo vya kufanya ili Daktari aweze kutambua chanzo ni nini na kutoa tiba husika. Mistari mi3 ya maelezo haiwezi tosha kutambua nini chanzo cha tatizo hilo. Haijalishi umeenda hospitali nagpi au zipi...but inajalisha umemuona Daktari mwenye utaalamu gani. Ushauri: My hun wako anahitaji kumuona Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologist) achukue history nzuri na vipimo, kasha atawapa ushauri stahiki.
 
Habari zenu wana jf.
Nahitaji mawazo yenu maana nadata hapa. Kabla sijaanza kutafta mtoto na wife wangu mzunguko wake ulikua fixed siku 26, mwezi wa 8 nikafanya nae siku za hatari haikunasa badala yake mzunguko ukasogea mbele ikawa 28.
Nikacheza tena safari hii nikapata matumaini makubwa sana maana siku ya 28 hakuna bleed nikajua nimeshinda. Cha ajabu tar 33 bleed ikaanza ambayo ni tar 28 october.
Nimejaribu kumpigia doct mmoja akanambia wife anunue dawa zinaitwa @clomiphene ndo hapo nimedata je kuna mtu ilishawahi kumtokea hii? Na wapi naweza pata msaada na ni vipimo gani akapime.
Pengine nimeandika vibaya ila kama sijaeleweka niulizeni ntatoa ushirikiano lengo nifanikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…